Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

View attachment 1623842

Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Kichefu chefu!
 
Hicho kiingereza hakijakaa vizuri. Mfano, kuchanganya second and third person - anawataja kwa majina kama vile anaongea na watu wengine kuhusu wao halafu anawa-refer kwa second person possessive adjective.
Pia fomu ya kitenzi 'exist' sio sawa kwa sababu 'relationship' ambayo ni subject ni singular. Ilitakiwa kuwa 'exists'.

Sky Eclat Mshana Jr
 
kwani hivi zile hutuba za kiswahili huwa anaandikiwa au anaandika mwenyewe ,jibu lipo hapo ukizama kiundani zaidi
Magufuli ametumia nguvu nyingi kuandika kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23]

Hio tweet sio yake, itakuwa kabudi kamuandikia
 
Unafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.

Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.

Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale p

Mkuu Tanzania uchaguzi haukufanyika, zile kura za wananchi hazikuhesabiwa ila walihesabu kura feki
Hata Trump anadai hivyo lakini hana ushahidi kama wewe unavyodai.
 
Huo ujumbe "TWITTER" atakua hajaandika yeye, kaandikiwa na Gerson, hana jeuri ya kuandika "ENGLISH" ilisimama kiasi hicho.
 
karibuni tu mtawaona wabaya,mjute kuwapongeza ,sijui mnakijua Chama kilichoshinda cha huyo Biden,mnafuatilia masula ya kisiasa,karibu mtaelewa ,msije mkajuta kumpongeza.
 
Hicho kiingereza hakijakaa vizuri. Mfano, kuchanganya second and third person - anawataja kwa majina kama vile anaongea na watu wengine kuhusu wao halafu anawa-refer kwa second person possessive adjective.
Pia fomu ya kitenzi 'exist' sio sawa kwa sababu 'relationship' ambayo ni subject ni singular. Ilitakiwa kuwa 'exists'.

Sky Eclat Mshana Jr
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect (ninakupongezeni Rais-mteule) @JoeBiden and Vice President-elect (na Makamu Rais-mteule) @KamalaHarris for your victory (kwa ajili ya ushindi wenu) in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exists between our countries...

VERY PERFECT & ATTRACTIVE ENGLISH kutoka kwa Dkt JPM!!!
 
View attachment 1623842

Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
[emoji120]
 
Anampogezaje mtu aliyechaguliwa kidemokrasia ilihali yeye ........
 
Niwe tofauti kidogo. Viongozi wa kiafrica wana kimbelembele cha ku tweet mara Konguratulesheni hivi kuna konguratulesheni mliyoiona ikija ama kwa drimu laina au hata kwa kago ikitoka kwa beberu lolote upande wowote
 
Ac
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Acha uboya wewe aliyeshinda kwa kura feki ni nani??
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Happy unaowasifia wanaenda mahakamani kufanya Nini Sasa Kama kila kitu kipo vizuri kimifumo
 
Aende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.

Kule hawatumii mabegi meusi.
Mbona wao Wana malalamiko mengi kuliko kwetu..inakuwa vipi mtu Kama Trmp analalamika kaibiwa kura..
 
Unafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.

Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.

Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale pale.
Jomba Kama Kuna wizi wa kura mbona hampeleki ushahidi mahakamani...mahakama hazina watu zinasubiri..mbona..wote mnajipanga kukimbia nchi eti mmetishiwa kuuwawa..vioja hivi...mbona wengine wapo wanaendelea kutanua mjini, kamanda Mbowe Tena mwenyekiti, haya ACT mbona wapo ,vyama vingine zaidi ya kuminywa wapo wanaishi kwa amani...jamaa wametengeneza maigizo kila mtu anawashangaa..eti Lemaa ana Nini yule tapeli tu wa magari,. Hata Nyalandu sijui naye kajiingiza na maigizo yao,. Lissuu ndio mchovu kabisaaa...Hana lolote
 
Back
Top Bottom