Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Bora kwa kina Trump unapereka kesi mahakamani, hapa kwetu utashtaki wapi Kaijage akishatamka mapenzi yake ?!Hata Trump anadai hivyo lakini hana ushahidi kama wewe unavyodai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kwa kina Trump unapereka kesi mahakamani, hapa kwetu utashtaki wapi Kaijage akishatamka mapenzi yake ?!Hata Trump anadai hivyo lakini hana ushahidi kama wewe unavyodai.
Jomba husikilizi vyombo vya habari..unaoshi Kijiji gani..kati ya mataifa yaliyopongeza hata Marekani ipoNiwe tofauti kidogo. Viongozi wa kiafrica wana kimbelembele cha ku tweet mara Konguratulesheni hivi kuna konguratulesheni mliyoiona ikija ama kwa drimu laina au hata kwa kago ikitoka kwa beberu lolote upande wowote
Angalau wao wanayo hiyo fursa ya kwenda mahakamani.Happy unaowasifia wanaenda mahakamani kufanya Nini Sasa Kama kila kitu kipo vizuri kimifumo
Hayo ni maneno ya MSHINDWA AKIJIFARIJI! Mlidhani US ndio kipimo cha demokrasia, sasa mmekiona! Afadhali hata Rais Trump anakimbilia Mahakamani, NINYI mnakimbilia Ubelgiji na Kenya! Mtasubiri waje wawasaidie hadi mtachoka na wao wana jambo lao!Aende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.
Kule hawatumii mabegi meusi.
Wakati unaongoza team ya kwenda kummiminia magazine nzima hukuona kama ni mchovu ?!Jomba Kama Kuna wizi wa kura mbona hampeleki ushahidi mahakamani...mahakama hazina watu zinasubiri..mbona..wote mnajipanga kukimbia nchi eti mmetishiwa kuuwawa..vioja hivi...mbona wengine wapo wanaendelea kutanua mjini, kamanda Mbowe Tena mwenyekiti, haya ACT mbona wapo ,vyama vingine zaidi ya kuminywa wapo wanaishi kwa amani...jamaa wametengeneza maigizo kila mtu anawashangaa..eti Lemaa ana Nini yule tapeli tu wa magari,. Hata Nyalandu sijui naye kajiingiza na maigizo yao,. Lissuu ndio mchovu kabisaaa...Hana lolote
Hata kura hukupiga ,tuondolea ujinga wako hapa,shida mnakuwa mabingwa wa mitandaoni,huku mitandoni hakupigwi kura,ni miaka mitano tena na CCM itatawala milele Tanzania,habari ndio hiyo,hatuwezi kumpa nchi kibaraka ,si umeona kaenda tena kwao na kuwaaacha kwenye mataaHuko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Tanzania Nani kawazuia...Mbowe au yule mwanasheria wenu AmsterdamAngalau wao wanayo hiyo fursa ya kwenda mahakamani.
Katiba ya ki dictatorTanzania Nani kawazuia...Mbowe au yule mwanasheria wenu Amsterdam
Bwashee Trump naye analalamika kaibiwa kura Kama ambavyo anavyolalamika Mbelgiji Lissu.Acha kudanganya watu hakuna Mwanasiasa anaeamini kashindwa kiuhalali 5 Tena kwa Magufuli na 4 Kwanza kwa Biden.Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Hapo sawa mi sijasikia.kijiji ni siri yangu maana nahsi haujulikani weweJomba husikilizi vyombo vya habari..unaoshi Kijiji gani..kati ya mataifa yaliyopongeza hata Marekani ipo
Duh. Kweli duniani kuna mambo.View attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Walau wao wanaweza kwenda mahakamani, lakini kwetu tume haichunguzwi na chombo chochote juu ya matendo yake wala matokeo ya Urais hayahojiwi kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama.Happy unaowasifia wanaenda mahakamani kufanya Nini Sasa Kama kila kitu kipo vizuri kimifumo
Mkuu, ungetuwekea na yale maoni ya baadhi ya walio comment ya baada ya salamu hizo!View attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Aha ahaa hizo salamu haziwezi kumfikia Biden hata mtumaji analijua hiloView attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Wale hawapati ushindi kwa kupika matokeo ofisini..na kucharanga watu bakora na risasiView attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Muache ashoboke anadhani Biden atamchekeaHuko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Hata mpate fursa ya kwenda mahakamani kama wananchi hawawataki, hamuwezi kufanikiwa.Angalau wao wanayo hiyo fursa ya kwenda mahakamani.
Acha kupotosha watu Jaduon, katiba ya kidictator rais angekuwa anatawala kwa kufuata amri zake,wala bunge na mahakama visingekuwa na sauti. Hii nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria na katiba.Katiba ya ki dictator
Nyerere aliliona hili, ingawa aliolionea aibu .
Baridi kama mrenda. Kiingereza bado kibovu. Aandike "the relationship that exists" siyo exist. Aongeze "s". La sivyo aandike kiswahili tu au kihutu.View attachment 1623842