Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

ikitokea mambo yakageuzwa na trump kuendelea kutawala sijui nini kitafuatia.......
 
Walau wao wanaweza kwenda mahakamani, lakini kwetu tume haichunguzwi na chombo chochote juu ya matendo yake wala matokeo ya Urais hayahojiwi kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama.
Sasa mnahoji Nini maamuzi ya wananchi..kwani mlikuwa nao mkataba kwamba watawapigia kura..nyinyi
 
Sasa mnahoji Nini maamuzi ya wananchi..kwani mlikuwa nao mkataba kwamba watawapigia kura..nyinyi
Katiba yetu haina punje ya maamuzi ya wananchi kusomeka kama ilivyo, kwani wabunge wa bunge la katiba wengi wao inaonekana walikuwa na maslahi binafsi.
 
PHD ya wizi? ya kulazimisha? tumia mwizi kukamata mwizi, Magufuli alikuja wezi wa vyeti feki yeye akiwa kinara wao! amewageuka!! Rais gani hajui kuongea hata kiingereza simple tu. '' even me am better off by far!!.

Ilitakiwa tuanze na yeye Rais, kuwa fake halafu twende kwa wengine. kitu.. Jakaya bana weeee! Nyerere ndo kabisaaa! utakaa chini. mwenyewe!!! eti ! Amejenga ri uwanja kwao!! akitoka tu linakuwa godown! mbele ya macho yake!

Ampongezeje! asubili kichapo tuu!
 
Kwa asijiulize kwa nini na huyo Biden hajampongeza yeye au Trump? Kujipendekeza kulikovuka mawingu.
 
Baridi kama mrenda. Kiingereza bado kibovu. Aandike "the relationship that exists" siyo exist. Aongeze "s". La sivyo aandike kiswahili tu au kihutu.
Huyo kamnukuu vibaya Mkulu wetu, ebo!?
 
PHD ya wizi? ya kulazimisha? tumia mwizi kukamata mwizi, Magufuli alikuja wezi wa vyeti feki yeye akiwa kinara wao! amewageuka!! Rais gani hajui kuongea hata kiingereza simple tu. '' even me am better off by far!!.

Ilitakiwa tuanze na yeye Rais, kuwa fake halafu twende kwa wengine. kitu.. Jakaya bana weeee! Nyerere ndo kabisaaa! utakaa chini. mwenyewe!!! eti ! Amejenga ri uwanja kwao!! akitoka tu linakuwa godown! mbele ya macho yake!

Ampongezeje! asubili kichapo tuu!
Sasa wewe hata Kiswahili chenyewe unakibungutua hivi, English utakiwezea wapi??? Labda jaribu kuzungumza kilugha tu.
 
Walau wao wanaweza kwenda mahakamani, lakini kwetu tume haichunguzwi na chombo chochote juu ya matendo yake wala matokeo ya Urais hayahojiwi kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama.
Hivi ni mimi tu au??? Si mlienda hukoo Aisiisii kwa Bob???
 
Unafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.

Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.

Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale pale.
Atatoe ndani mahabusu wa kisiasa aliowataja askofu Mwamakula!
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
"There has been so much suppresive measures, election irregularities and fraud in this United States of American that are even unthinkable in countries like Tanzania. " ~ Ruddy Guilliani, Trump personal lawyer, former Senator and famed "American Mayor."
 
Sasa wewe hata Kiswahili chenyewe unakibungutua hivi, English utakiwezea wapi??? Labda jaribu kuzungumza kilugha tu.
Najua yamekuchoma Yaani hapo kinyume chake !!! kama li babu yako hilo na Badoooo. nakuja kivingine mpaka mkome!! ningejiona choo sana na kujikataa km wewe muuza mihogo ungenisifu eti najua kiingereza!! weee thubutu!!

kubungutua ndo nini mchagga mshamba weye!!!!
 
View attachment 1623842

Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...

1608023661567.png
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Wacheni unafiki. Bahati yao tu wana uchumi mkubwa lakini USA Elections mwaka huu ni feki, kashinda mwizi. Hujaona malalamiko ya Trump? Na zile kura feki za posta? Hujaona ukabila uliojitokeza, Hispanics, Latinos? Rais wetu mjanja, namshukuru kwa kusubiri matokeo yakaekae hadi rasmi, la sivyo angekurupuka ajikute anashangilia wizi. Pia kumbuka hiki ndiyo chama cha mashoga, hatuna sababu nyingi sana za kuwacheckea
 
Msomi wa PHD anashindwaje kuandika kingereza simple kama hicho!.Ambacho hata mtoto wa darasa la nne anaandika!.
PhD zilikuwa zamani hizi za sasa ndio hivyo tena watu hawawezi kujieleza kwa hiyo hiyo lugha wanayodai waliitumia kupata hiyo wanayodai ni PhD.

Inaacha maswali mengi sana bila majibu na ndio maana ma "PhD Holders" wamekuwa wengi mno mitaani.
 
Wacheni unafiki. Bahati yao tu wana uchumi mkubwa lakini USA Elections mwaka huu ni feki, kashinda mwizi. Hujaona malalamiko ya Trump? Na zile kura feki za posta? Hujaona ukabila uliojitokeza, Hispanics, Latinos? Rais wetu mjanja, namshukuru kwa kusubiri matokeo yakaekae hadi rasmi, la sivyo angekurupuka ajikute anashangilia wizi. Pia kumbuka hiki ndiyo chama cha mashoga, hatuna sababu nyingi sana za kuwacheckea
More that 150 written and certified testimonies kutoka kwa leading officers wa 5 swing states (MI, Ar, PA, WI, Georgia) are saying the same thing --- "We were clearly instructed to backdate the late mailballots, which were by tens of thousands; not to doublecheck signatures in the envelopes; we saw Joe Biden's tallies being recorded repeatedly twice or thrice! The election tally-machines had been purposely manufactured in order to compromise the election in favor of Biden."
 
PhD zilikuwa zamani hizi za sasa ndio hivyo tena watu hawawezi kujieleza kwa hiyo hiyo lugha wanayodai waliitumia kupata hiyo wanayodai ni PhD.

Inaacha maswali mengi sana bila majibu na ndio maana ma "PhD Holders" wamekuwa wengi mno mitaani.
Najua asingemtumbua anko ako ungesifu sana PhD yake kwamba ni genuine
 
Hivi ni mimi tu au??? Si mlienda hukoo Aisiisii kwa Bob???
Mimi si mwanachama wala shabiki wa chama chochote kile, ila napenda kilichoandikwa kifuatwe na kibadilike kama hakitendi haki. Maoni yangu ni kuhusu katiba ya Tanzania na mahakama za Tanzania na sio ICC.
 
Back
Top Bottom