Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Mzee una mambo ya ajabu sana wewe
Sasa mnahoji Nini maamuzi ya wananchi..kwani mlikuwa nao mkataba kwamba watawapigia kura..nyinyiWalau wao wanaweza kwenda mahakamani, lakini kwetu tume haichunguzwi na chombo chochote juu ya matendo yake wala matokeo ya Urais hayahojiwi kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama.
Katiba yetu haina punje ya maamuzi ya wananchi kusomeka kama ilivyo, kwani wabunge wa bunge la katiba wengi wao inaonekana walikuwa na maslahi binafsi.Sasa mnahoji Nini maamuzi ya wananchi..kwani mlikuwa nao mkataba kwamba watawapigia kura..nyinyi
Huyo kamnukuu vibaya Mkulu wetu, ebo!?Baridi kama mrenda. Kiingereza bado kibovu. Aandike "the relationship that exists" siyo exist. Aongeze "s". La sivyo aandike kiswahili tu au kihutu.
Kwani kumpongeza shilingi ngapi, kimfano???Kwa asijiulize kwa nini na huyo Biden hajampongeza yeye au Trump? Kujipendekeza kulikovuka mawingu.
Sasa wewe hata Kiswahili chenyewe unakibungutua hivi, English utakiwezea wapi??? Labda jaribu kuzungumza kilugha tu.PHD ya wizi? ya kulazimisha? tumia mwizi kukamata mwizi, Magufuli alikuja wezi wa vyeti feki yeye akiwa kinara wao! amewageuka!! Rais gani hajui kuongea hata kiingereza simple tu. '' even me am better off by far!!.
Ilitakiwa tuanze na yeye Rais, kuwa fake halafu twende kwa wengine. kitu.. Jakaya bana weeee! Nyerere ndo kabisaaa! utakaa chini. mwenyewe!!! eti ! Amejenga ri uwanja kwao!! akitoka tu linakuwa godown! mbele ya macho yake!
Ampongezeje! asubili kichapo tuu!
Hivi ni mimi tu au??? Si mlienda hukoo Aisiisii kwa Bob???Walau wao wanaweza kwenda mahakamani, lakini kwetu tume haichunguzwi na chombo chochote juu ya matendo yake wala matokeo ya Urais hayahojiwi kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama.
Atatoe ndani mahabusu wa kisiasa aliowataja askofu Mwamakula!Unafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.
Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.
Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale pale.
"There has been so much suppresive measures, election irregularities and fraud in this United States of American that are even unthinkable in countries like Tanzania. " ~ Ruddy Guilliani, Trump personal lawyer, former Senator and famed "American Mayor."Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Trump alikuwa analalamikia nini kumbe??Jaribu kuuficha ujinga wakoAende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.
Kule hawatumii mabegi meusi.
Najua yamekuchoma Yaani hapo kinyume chake !!! kama li babu yako hilo na Badoooo. nakuja kivingine mpaka mkome!! ningejiona choo sana na kujikataa km wewe muuza mihogo ungenisifu eti najua kiingereza!! weee thubutu!!Sasa wewe hata Kiswahili chenyewe unakibungutua hivi, English utakiwezea wapi??? Labda jaribu kuzungumza kilugha tu.
View attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Wacheni unafiki. Bahati yao tu wana uchumi mkubwa lakini USA Elections mwaka huu ni feki, kashinda mwizi. Hujaona malalamiko ya Trump? Na zile kura feki za posta? Hujaona ukabila uliojitokeza, Hispanics, Latinos? Rais wetu mjanja, namshukuru kwa kusubiri matokeo yakaekae hadi rasmi, la sivyo angekurupuka ajikute anashangilia wizi. Pia kumbuka hiki ndiyo chama cha mashoga, hatuna sababu nyingi sana za kuwacheckeaHuko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
PhD zilikuwa zamani hizi za sasa ndio hivyo tena watu hawawezi kujieleza kwa hiyo hiyo lugha wanayodai waliitumia kupata hiyo wanayodai ni PhD.Msomi wa PHD anashindwaje kuandika kingereza simple kama hicho!.Ambacho hata mtoto wa darasa la nne anaandika!.
More that 150 written and certified testimonies kutoka kwa leading officers wa 5 swing states (MI, Ar, PA, WI, Georgia) are saying the same thing --- "We were clearly instructed to backdate the late mailballots, which were by tens of thousands; not to doublecheck signatures in the envelopes; we saw Joe Biden's tallies being recorded repeatedly twice or thrice! The election tally-machines had been purposely manufactured in order to compromise the election in favor of Biden."Wacheni unafiki. Bahati yao tu wana uchumi mkubwa lakini USA Elections mwaka huu ni feki, kashinda mwizi. Hujaona malalamiko ya Trump? Na zile kura feki za posta? Hujaona ukabila uliojitokeza, Hispanics, Latinos? Rais wetu mjanja, namshukuru kwa kusubiri matokeo yakaekae hadi rasmi, la sivyo angekurupuka ajikute anashangilia wizi. Pia kumbuka hiki ndiyo chama cha mashoga, hatuna sababu nyingi sana za kuwacheckea
Najua asingemtumbua anko ako ungesifu sana PhD yake kwamba ni genuinePhD zilikuwa zamani hizi za sasa ndio hivyo tena watu hawawezi kujieleza kwa hiyo hiyo lugha wanayodai waliitumia kupata hiyo wanayodai ni PhD.
Inaacha maswali mengi sana bila majibu na ndio maana ma "PhD Holders" wamekuwa wengi mno mitaani.
Mimi si mwanachama wala shabiki wa chama chochote kile, ila napenda kilichoandikwa kifuatwe na kibadilike kama hakitendi haki. Maoni yangu ni kuhusu katiba ya Tanzania na mahakama za Tanzania na sio ICC.Hivi ni mimi tu au??? Si mlienda hukoo Aisiisii kwa Bob???