mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Budget za halmashauri hutekelezwa kwa chini ya 50%. Maanayake pesa inakusanywa na halmashauri yote hupelekwa hazina kuu. Halafu halmashauri inaandaa budget yake na kuipeleka serikali kuu. Pesa inayorudi halmashauri inakuwa pungufu ya mahitaji zaidi ya 50%Kwani gari likiharibika Rais ndiye anatoa pesa za matengenezo hiyo halamashauri haina bajeti mbona watu mnajitoa ufahamu hivo