Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu this is free market governed by forces of demand and supply!! unaona mshahara mdogo alafu unaomba kazi, kwani umelazimishwa kuomba? je alipoacha kazi alinyimwa na kulazimishwa abaki?Akili Kama hizi ni shida sana
Hata huelewekiMkuu this is free market governed by forces of demand and supply!! unaona mshahara mdogo alafu unaomba kazi, kwani umelazimishwa kuomba? je alipoacha kazi alinyimwa na kulazimishwa abaki?
Akili kama hii yako ni tatizo kubwa sana!!
Ukiona maslahi hakuna acha kazi au usiombe kabisa na sio unaomba alafu unaanza kulia lia kama mtoto!!
Huwezi ukanielewa kwa sababu uwezo wako wa kuelewa ni mdogo.Hata hueleweki
Mtasubiri sana.Mpaka Miradi yoooote ikamilike.Zitakazosalia tutagawana kidogokidogo.Subiri usiwe na haraka Bwana.Na sisi baba tukumbuke watumishi
Nyani haoni kundule .Mbona serikali imeshindwa kuwajali wafanyakazi wake?
Bipolar disorder.Jiwe wa ajabu sana. Yeye mwenyewe hawajali watumishi.
Wanajenga miundombinu...waziri Jesnista MhagamaMbona serikali imeshindwa kuwajali wafanyakazi wake?
Kwenye mishahara Magu na mo watakuwa walewale, Magu naye kaongeza mara ngapi?Katika Kampuni zinazolipa vibaya hapa Tanzania nadhani huyu anaongoza, dogo moja kamaliza kadigrii kake mshahara kapewe laki tatu na nusu kwa cheo cha meneja. Nikamwambia acha usenge kaacha sahizi yupo sehemu take home yake 900,000.
Katika Kampuni zinazolipa vibaya hapa Tanzania nadhani huyu anaongoza, dogo moja kamaliza kadigrii kake mshahara kapewe laki tatu na nusu kwa cheo cha meneja. Nikamwambia acha usenge kaacha sahizi yupo sehemu take home yake 900,000.
Rais Magufuli amtaka Mo Dewji kujali maslahi ya wafanyakazi wake kama Anavyoijali Simba
Rais Magufuli amemtaka Mfanyabishara Mohamed Dewji (Mo Dewji), kuhakikisha anajali maslahi ya wafanyakazi wake kama anavyofanya katika Timu ya mpira wa miguu ya Simba Sports Club ambapo amemsihi kwamba wafanyakazi hao nao wanastahili kupata maslahi yao.
Rais magufuli amesema ivho leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kusaga Nafaka cha 21st Century Food and Packaging, kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam, kinachomilikiwa na mfanyabiashara huyo.
“Mohamed Dewji ninakupongeza sana katika hili na ninakuomba uwajali wananchi wanaofanya kazi hapa hasa maslahi yao kwahiyo unapokuwa unaangalia maslahi ya Simba uangalie pia masilahi ya wafanyakazi wa 21st century food and packaging,” amesema.
Aidha ameiataka Kampuni ya Metl Group iliyopo chini ya mfanyabishara huyo kuachana na utaratibu walionao wa kuagiza ngano kutoka nje ya nchi na badala yake kuanza kulima ngano nchini kwani kwa kufanya hivyo itasawadia Watanzania wanaohitaji ajira.
“Ninatoa wito kwa Kampuni ya Metl Group chini ya Mohamed Dewji, nilipokuwa ninapewa maelekezo nmeambiwa mahindi yanatoka Tanzania ambayo yanatengenezwa tani 300 kwa siku lakini ngano inayotengeneza tani 1400 kwa siku inaagizwa kutoka nje hii tuibadilishe,” amesema.
“Katika maisha yangu nilikua ninafahamu kulikuwa na mashamba makubwa sana ya ngano kule Manyara lakini sasa hivi hayatumiki na kuna wakati wawekezaji wakijaribu wanachomewa moto sasa nitoe wito hata kwa Kampuni yako muanze kulima ngano kwani mtakuwa mmesaidia Watanzania wengi,” amesema.
Mhe. Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kusaga unga wa mahindi na ngano cha 21st Century Food Packaging chenye uwezo wa kusaga tani 1,500 kwa siku.
▪Mo aahidi kumuunga mkono Mhe. Rais Magufuli kwa kuwekeza shil Bil 860 utakaozalisha ajira 100,000 ifikapo mwaka 2025
View attachment 1169472
Umekaweza, nafikri dish la haka kazee litakuwa limecheza big time! Huwezi kuwaambia wenzio wawajali watumishi wao kimaslahi wakati kwako umekata kwamba siyo kipaombele chako! Aache usanii huyu Mzee awaongezee na yeye!Kwa wale wakristo, wanahitwa wanasheria.
Luke 11:46 New International Version (NIV)
Jesus replied, “And you experts in the law, woe to you, because you load people down with burdens they can hardly carry, and you yourselves will not lift one finger to help them.
Luke 11:46:
Akasema, Nanyi wana-sheria, ole wenu, kwa sababu mwawatwika watu mizigo isiyochukulika, wala ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo hata kwa kimoja cha vidole vyenu.
Huyo alikudanganya, Mo analipa mishahara midogo lakini as manager of anything huwezi kulipwa that salary. Niliwahi kufsnya kazi nao, najua mishahara yao.Katika Kampuni zinazolipa vibaya hapa Tanzania nadhani huyu anaongoza, dogo moja kamaliza kadigrii kake mshahara kapewe laki tatu na nusu kwa cheo cha meneja. Nikamwambia acha usenge kaacha sahizi yupo sehemu take home yake 900,000.
Barrick si mwekezaji wa ndani. Tungekuwa tunawatendea na tuwawekea wawekezaji na wafanyabiashara wa ndani mazingira mazuri yenye kuhamasisha uwekezaji kama tunavyowafanyia wale wa nje nna uhakika hali ingekuwa tofauti.