Rais Magufuli amtaka mfanyabiashara Mo Dewji kujali wafanyakazi wake kama anavyofanya kwenye timu ya mpira

Rais Magufuli amtaka mfanyabiashara Mo Dewji kujali wafanyakazi wake kama anavyofanya kwenye timu ya mpira

Uzuri wa JPM hamung'unyi maneno, message sent and delivered....
Swala la maslahi kwa Metl hapo kazi ipo, wafanyakazi raia kutwa ni kulalamika mishahara kiduchu, na wale wageni ni kupigwa repatriation kisa kudai maslahi yao...ila yetu macho, labda sababu kasema mkuu yatabadilika...
 
Back
Top Bottom