Rais Magufuli amtaka mfanyabiashara Mo Dewji kujali wafanyakazi wake kama anavyofanya kwenye timu ya mpira

Kulipa mishahara mizuri wafanyakazi sio jambo la mchezo! Yeye Increment tu ya shilling elfu sita (6) kwa watumishi wa umma ameshindwa miaka 4 sasa!
 
Akili Kama hizi ni shida sana
Mkuu this is free market governed by forces of demand and supply!! unaona mshahara mdogo alafu unaomba kazi, kwani umelazimishwa kuomba? je alipoacha kazi alinyimwa na kulazimishwa abaki?

Akili kama hii yako ni tatizo kubwa sana!!

Ukiona maslahi hakuna acha kazi au usiombe kabisa na sio unaomba alafu unaanza kulia lia kama mtoto!!
 
Hata hueleweki
 
Yeye mbona kashindwa kuwajali watumishi wa umma?
 
Kwa kweli maana jamaa hajambo kwa kulipa mishahara midogo.
 
Msola angefanya kazi kwake ingekuwa anapunja wafanyakazi wake.Anawapunja kulinganisha na nani?Usilolijua ni usiku wa giza. Mo Dewji ameajiri watu 30,000 umesikia wakilalamika?Wacheni majungu .Kila mfanyajazi analipwa kutokana na qualification zake.
 
Katika Kampuni zinazolipa vibaya hapa Tanzania nadhani huyu anaongoza, dogo moja kamaliza kadigrii kake mshahara kapewe laki tatu na nusu kwa cheo cha meneja. Nikamwambia acha usenge kaacha sahizi yupo sehemu take home yake 900,000.
Kwenye mishahara Magu na mo watakuwa walewale, Magu naye kaongeza mara ngapi?
 
"Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza, Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700, fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100, ambapo asilimia 15 fedha taslimu na 85% tumekopa , na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu" - JPM #UzinduziTerminal3
 
Katika Kampuni zinazolipa vibaya hapa Tanzania nadhani huyu anaongoza, dogo moja kamaliza kadigrii kake mshahara kapewe laki tatu na nusu kwa cheo cha meneja. Nikamwambia acha usenge kaacha sahizi yupo sehemu take home yake 900,000.

Muhindi ni muhindi tu. Hakuna namna. Halafu kuna watu wanasema anasaidia watu. Ukiwaangalia wanaofanya kazi kwenye hivyo viwanda unaweza kulia
 

Magufuli hana moral authority ya kumwambia mwajiri yeyote ajali wafanyakazi wake. Huwezi kuwahubiria watu maji wakati wewe unakunywa mvinyo.
 
Umekaweza, nafikri dish la haka kazee litakuwa limecheza big time! Huwezi kuwaambia wenzio wawajali watumishi wao kimaslahi wakati kwako umekata kwamba siyo kipaombele chako! Aache usanii huyu Mzee awaongezee na yeye!
 
Katika Kampuni zinazolipa vibaya hapa Tanzania nadhani huyu anaongoza, dogo moja kamaliza kadigrii kake mshahara kapewe laki tatu na nusu kwa cheo cha meneja. Nikamwambia acha usenge kaacha sahizi yupo sehemu take home yake 900,000.
Huyo alikudanganya, Mo analipa mishahara midogo lakini as manager of anything huwezi kulipwa that salary. Niliwahi kufsnya kazi nao, najua mishahara yao.
 
Jiwe anawajali wafanyakazi wake? Mbona nasikia hakuna nyongeza za mishahara, hakuna kupandishwa vyeo, marupurupu yameminywa!. Man, don't preach water and yet you drink wine!
Barrick si mwekezaji wa ndani. Tungekuwa tunawatendea na tuwawekea wawekezaji na wafanyabiashara wa ndani mazingira mazuri yenye kuhamasisha uwekezaji kama tunavyowafanyia wale wa nje nna uhakika hali ingekuwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…