Kuna mkuu wa mgambo na mshauri wa mgambo ni vitu viwili tofauti! Wengi wa washauri wa mgambo ni wanajeshi wastaafu kama maColonelKama hujui kila mkoa una afisa jeshi kama mshauri wa Mgambo wa mkoa.
Makao makuu ya jeshi UpangaMakao makuu ya mgambo yako wapi aisee ?
MaraNimeuliza swali hilo hilo sijapata jibu. Aliyeondolewa ni Maj. Gen. Busungu. Most likely ni ngosha. Sasa huyu?
Well said mkuu,Kule watu hawapandi pandi vyeo kiholela holela tu mtu umeamka unaamua kumpandisha cheo fulaniJiwe amevuruga sana seniority list ya jeshini. Ipo siku itatugharimu
Unasemaje??!Mkuu wa kaya hachagui mtu kwa kuangalia ametoka wapi, ni kabila gani,ni dini gani au ni wa kanda gani...anakupa cheo kwa kutegemea na uzalendo wako,na juhudi zako katika kuchapa kazi na nidhamu...HAPA KAZI TU
Vikundi vya JKT vya kwaya havijatunga nyimbo za kusifu! Chunguza utalijua hilo. Na ni kosa kubwa sana, muulize Nape
Ni mgambo wa mtaani ndio anakuwa bosi wao au wewe hujui kuwa MGAMBO ni jeshi la akiba?vita ikitokea wanakwenda front.Mgambo ni jina la Kikosi cha JKT, inaitwa KJ 835 - Mgambo JKT.
Msichanganye na hawa migambo wa mitaani.
Hapa misifa tu.Mkuu wa kaya hachagui mtu kwa kuangalia ametoka wapi, ni kabila gani,ni dini gani au ni wa kanda gani...anakupa cheo kwa kutegemea na uzalendo wako,na juhudi zako katika kuchapa kazi na nidhamu...HAPA KAZI TU
Kuna hoja hapa.Inawezekana ni jambo dogo tu amefanya. Hizi nafasi za uteuzi wakati mwingine zinategemea damu za mteauji na mteuliwa zinavyoiviana. Mbona Makonda anafanya madudu lakini yupo tu!
Mgambo ni jina la Kikosi cha JKT, inaitwa KJ 835 - Mgambo JKT.
Msichanganye na hawa migambo wa mitaani.
Mbuge ndio yule alemwambia Magufuli Jeshi halishindwi kazi yoyote afande!?kama ni huyo sawa tuMmmmh hii tumbua hamisha imefikia kwa hawa jamaa daàh, ila historia ya Mbuge ndo ujue bahati ipo duniani
JKT hadi mgambo!!?
Hivi makao makuu ya mgambo huwa yako wapi?
Kuto wasimamia waliojenga ukuta wa mereran kuajiri na kupewa ajira vijana wengine na waliojenga ukuta kuludishwa nyumbani.Nafasi za uteuzi mkuu ni hatari sana inakufanya uwe mtumwa na unyenyekevu balaaa! Unaweza kuta alionyesha msimamo kidogo akaonekana hafai!! Au alifanya kosa kidogo tuu akaliwa kichwa
Kumbuka aliyekuwa Inspector General wa Police miaka 90 Mahundi aliteuliwa kuwa IGP kutoka RPC Arusha na cheo cha SSP wakati kulikuwa na makamishna wakubwa makao makuu ya jeshi hilo. Kuteuliwa kwa mtu ni kutokana na utendaji wake mzuriNa ndani ya miezi mitano from Colonel to Head of National service (JKT) post ambayo itambidi apandishwe tena kuwa Major General ASAP.
Haya!
Yaani nyie watu nikiwaita wapuuzi msilalamike. Mnatia kinyaa. Nyie mnaelewa haya mambo zaidi ya anavyoyaelewa amiri jeshi mkuu? Mnafahamu kama mkuu wa majeshi na jopo lake ndiyo wanapanga haya mambo na Rais anatumika kuthibitidha tu kwa sababu ndiye mkubwa wao? Acheni uzuzu.Well said mkuu,Kule watu hawapandi pandi vyeo kiholela holela tu mtu umeamka unaamua kumpandisha cheo fulani
Culture,merit na seniority wanaifahamu vizuri watu wa kule au wastaafu wa kule sio mwanasiasa , mchakato wake huwa complex kidogo kabla ya kumpandisha
And Obvious kuna watu walirukwa yule jamaa alivyopata Ujenerali siku ile
Uyo ni mnadhimu mkuu yani hao mameja generals wote kushuka chini wanaripoti kwake kiutendaji na bajet zote ndani ya jeshi.Na luteni general anapewaga majukumu gani?