Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo

Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo

Inawezekana ni jambo dogo tu amefanya. Hizi nafasi za uteuzi wakati mwingine zinategemea damu za mteauji na mteuliwa zinavyoiviana. Mbona Makonda anafanya madudu lakini yupo tu!
Bashite kwa kweli inaishangaza Dunia amefanya mabaya mengi lakini hatumbuliwi
 
Ukisikia demotion ndio hii. Jeshi la akiba ambalo liko mtaani halijakusanywa na wala kuwa na ranks - linaongozwa na Meja Jenerali. Halafu lile lililo na vikosi linakuja kuongozwa na Brigedia Jenerali - cheo cha chini kuliko meja jenerali.

Hapa kuna mtu wameona wamwaibishe kabla hajastaafu!
 
Angeacha hivyo hivyo wasukuma nasisi tuwe wengi jeshini
wangesema kamuweka msukuma mwenzie ila sasa kamtoa msukuma story tofauti ila mimi naona poa haivutii mkuu wa majeshi na jkt wote wawe jamii moja ...pia .inawezekana kapelelekwa huko mgambo kuliimarisha jeshi hilo la akiba mambo yao wanayajua wenyewe sisi hapa ni ni speculation tu
 
Yupo miaka yote na huwa kila wilaya kuna wakuu wa mgambo ambao huanzia cheo cha capt maj mpak Lt colonel na mkuu wao huwa makao makuu ya Jwtz upanga ni cheo kisicho na masilahi
Noma sana
 
Angeacha hivyo hivyo wasukuma nasisi tuwe wengi jeshini
Tayali wako wengi wa kutosha tangu enzi za Mti Mkavu. Cha msingi ni kuamini hii ni nchi yetu sote kila mtu aitumikie kwa weledi anapopata nafasi popote kwani lolote likitokea hakuna cha msukuma wala mmakonde tutazama wote
 
Back
Top Bottom