Acheni kuchafua watu Brig mbughe ni MkuryaHuyu kuna tetesi ni mtutsi...anaejua historia yake atuwekee tumfahamu vizuri tusije kujiingiza kwenye matatizo yanayompata mzee m7 na uganda yake dhidi ya rwanda
View attachment 1205820
Hata Isamuyo aliteuliwa kuwa mkuu wa JKT akiwa brigadier general akapandishwa cheo baadayeJKT linaongozwa na Brigadia General? Sio Major General?
Mbona Hakuna "Demotion" hapo! CMG ni nafasi kubwa tu katika kamandi ya Kijeshi. Anabakia kuwa miongoni mwa ma "Chief" na wa JWTZ. Si kila mabadiliko ni kwamba sababu ya kuvurunda, hapana. Inawezekana Rais ameona aliyekuwa "Chief" wa National Service (CNS) angeweza kutumika vizuri zaidi kama CMG na huyu mpya kama CNS.Duuh kutoka mkuu wa JKT mpaka mkuu wa migambo hii ni hatari aisee, itakuwa amefanya kosa kubwa sana
Sawa mkuu nashukuru kwa ufafanuziMbona Hakuna "Demotion" hapo! CMG ni nafasi kubwa tu katika kamandi ya Kijeshi. Anabakia kuwa miongoni mwa ma "Chief" na wa JWTZ. Si kila mabadiliko ni kwamba sababu ya kuvurunda, hapana. Inawezekana Rais ameona aliyekuwa "Chief" wa National Service (CNS) angeweza kutumika vizuri zaidi kama CMG na huyu mpya kama CNS.
Kuto wasimamia waliojenga ukuta wa mereran kuajiri na kupewa ajira vijana wengine na waliojenga ukuta kuludishwa nyumbani.
Siku hizi wako 2 mwingine mkuu chuo cha kijeshi pale kunduchi...Uyo ni mnadhimu mkuu yani hao mameja generals wote kushuka chini wanaripoti kwake kiutendaji na bajet zote ndani ya jeshi.
mgambo ni kamandi ya jwtz hivo ni yale yaleDuuh kutoka mkuu wa JKT mpaka mkuu wa migambo hii ni hatari aisee, itakuwa amefanya kosa kubwa sana
yapo Ngome makao makuu ya jeshi jwtz upanga mgambo ni kamandi ya jwtz kama unavyoona jktJKT hadi mgambo!!?
Hivi makao makuu ya mgambo huwa yako wapi?
Makao makuu ya mgambo yako wapi aisee ?
Na tayari ameshapanda sasaNa ndani ya miezi mitano from Colonel to Head of National service (JKT) post ambayo itambidi apandishwe tena kuwa Major General ASAP.
Haya!
Hongera kutukumbusha...hata jaji nyalali(km nakumbuka vema) pia alikua so juniour kwa wenzake na hakuamini alipoteuliwa mpaka kwenda kumuuliza rais alihis hastahili na kuna wengine wamekuwa sinior kwake why yeye?Kumbuka aliyekuwa Inspector General wa Police miaka 90 Mahundi aliteuliwa kuwa IGP kutoka RPC Arusha na cheo cha SSP wakati kulikuwa na makamishna wakubwa makao makuu ya jeshi hilo. Kuteuliwa kwa mtu ni kutokana na utendaji wake mzuri
Na sasa historia inaenda kumhukumuMmmmh hii tumbua hamisha imefikia kwa hawa jamaa daàh, ila historia ya Mbuge ndo ujue bahati ipo duniani
Leo wote marehemu.Rais wa Tanzania, John Magufuli amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kumteua bosi mpya wa jeshi hilo na kumhamisha aliyekuwepo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Septemba 10, 2019 jijini Dar es Salaam amesema Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT.
Jenerali Mabeyo amesema aliyekuwa Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Martin Busungu ameteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la akiba (mgambo).
Busungu aliyeteuliwa kushika wadhifa wa juu ndani ya JKT, Februari 16 mwaka 2018 alichukua nafasi ya Meja Jenerali Michael Isamuhyo ambaye alistaafu.
Aprili 13, 2019 wakati Rais Magufuli akizindua mji wa kiserikali wa Ihumwa Dodoma, alitangaza kumpandisha cheo Mbuge kutoka Kanali na kuwa Brigedia Jenerali kutokana na kazi nzuri aliyoionyesha ya kusimamia ujenzi huo.
Mara baada ya kumtangaza, alimuita mbele Brigedia Mbuge kwenda kukaa kwenye jukwaa kuu sehemu inayotengwa kwa ajili ya viongozi wakuu na siku hiyo hiyo eneo hilo, Mbunge alivalishwa vyeo vya Brigedia Jenerali.
Chanzo - Mwananchi
Oyaa ChaliifranciscoNaona kuna ukweli kwenye hili mkuu , majina ya vijana wa ajira mengi siyo ya wale waliojenga ukuta
Hahaha uumbwaaa
Mbususu EnthusiastHahaha uumbwaaa