Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Ni mluguru! Punguza povu!
Hata hivyo si vizuri tukaaanza kuulizana makabila!
Ha ha msukuma unahofu nini mbona magufuli anaonge kisukuma akiwa shinyanga geita simiyu na mwanza si ni mkabila ndio maana kachaguwa wasukuma wenzake kuongoza chombo kama hicho
 
Kwani kuna struggle for power huko idarani?

Tunahusishwa sana na habari zenu isivyo kawaida. Magazati, bunge, mitandaoni huku.. mbaya zaidi tunawasikia kupitia "habari" za kutisha! Ukizingatia utendaji na mfumo wao hawa na tunavyowasikia... Tutaishi kwa kuhofia hata vivuli vyetu.
 
Hii NIDA si ndiyo ilifuja pesa na zoezi la vitambulisho likaharibika?, au yeye hakuhusika ila alikuwa ananote uharifu.
 
Kuna Marehemu mzee Mzena kwake ni Galu street Ada Estate ilipo Bar ya Mamas na pia pale Kijitonyama mle ndani kuna Hospital wameipa jina lake

Gama alifuata baada ya huyu Mzee
Correct Mzena hospital imepewa jina lake ndipo wanatibiwa maafisa.
 
Hii NIDA si ndiyo ilifuja pesa na zoezi la vitambulisho likaharibika?, au yeye hakuhusika ila alikuwa ananote uharifu.
Mkurugenzi wa NIDA ya kifisadi alikuwa Dickson Mwaimu na tayari ameshatiwa pingu kesi iko mahakamani.
 
Matukio kadhaa ya watu kutekwa, kupotea na wengine kujeruhiwa yametokea kwenye "Tenure" ya huyu bwana.

I don't know how can he react to that not very good story. In no distant future, he will be compelled to defend himself regarding these nasty allegations.
 
Daah hatari sana, Mkuu naomba basi kazi huko kitengoni. Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi Mtwara, pia ni UVCCM kindakindaki.
 
Sentence yako ya mwisho imejaa ukweli mtupu kwa asilimia kubwa.
 
Mhm.... huyu si ndio alikuwa Mkurugenzi wa IT tume ya Taifa ya Uchaguzi....
Watu wa IT kwenye taasisi mbalimbali za umma na za binafsi ndio mara nyingi Hutumika kama reliable sources of information "good informers/moles" kwa sababu huwa wanakuwa na accessibility kubwa na information/data nyingi za taasisi including including "classified information".
 
Ha ha msukuma unahofu nini mbona magufuli anaonge kisukuma akiwa shinyanga geita simiyu na mwanza si ni mkabila ndio maana kachaguwa wasukuma wenzake kuongoza chombo kama hicho
Mimi sio msukuma na nilimpa kura yangu mwaka 2015. Achana na hizo inferiority complex. Shemeji zake Mkapa walikula sana maisha akiwa pale magogoni. Na wengine wakala maisha wakati Kikwete akiwa rais.

Sasa usiwalaumu wala kutaka kuwasema vibaya wanaokula maisha hivi sasa. Akiondoka huyu watakuja wengine watakaokula maisha. Haya maisha ni mafupi sana, ukiishi na kinyongo utakufa nacho.
 
Yaliyomkuta Ulimboka yalitokea wakati wa JK. Yaliyomkuta Kombe yalitokea wakati wa BWM.

Kuna waliyokutwa na mabaya enzi za JKN na AHM, Kila awamu huwa na mambo ya aina hiyo, vuta kumbukumbu.
 
Kila awamu ilikuwa na matukio yake, siyo awamu hii tu.
Fanya utafiti utabaini hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…