Katiba Mpya Watanzania walishapiga kura na kusema wanaitaka,sio mimi au wewe!
Walipiga kura,wakatoa maoni ,wakatoa na bajeti ya bunge la katiba,ila tu waCCM wakaharibu takwa la wananchi
Sababu za katiba mpya sina haja ya mimi kutoa,wananchi wa Tanzania wanajua ndio maana walifanya mchakato wote
Wewe na mimi ni vidampa tu,watu milioni 60 wenye nchi yao walikwishaamua siku nyingi na processes zote zilipitiwa ila maCCM walikua stopisha mwishoni sijui nani aliwapa hiyo ruksa!
Ustopishaji ule ulikua badili maana haukuamuliwa na wananchi wenyewe kwa kura,ni mapumbavu kadhaa yaliamua
Hivyo tunataka process iendelee kama walivyokua wanataka mwanzoni
Katiba Mpya sio ombi,ni lazima,maana wananchi wenyewe waliamua na wala sio wewe au CCM
Irudisheni kwa LAZIMA....
Hamtaki leo,but it is the matter of time!
Upumbavu au si upumbavu kutokana na macho yangu haukuhusu,ni maamuzi yangu wewe uhusiki nayo
Na wewe pia kutpitia macho yako kuna vitu unaona upumbavu na vingine si upumbavu..ni yako si yetu!
Usinipe kibarua cha kipumbavu cha kutaja nachoona upumbavu au si upumbavu maana wewe ni useless kwangu,na hayo maono ni yangu sio ya mtu,sihitaji ruksa kuyasema popote!
Mwenye mahaba ni wewe na bwana mawe....ni vizuri ukampa taqor kabisa akapiga!