Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Tuombe Mola tupate baraza zuri la mawaziri.
Ila huyu Bwana aliyechaguliwa sasa kuwa PM nadhani
watu kama hawana mazoea nae ya kumpa michongo ya dili.

Mweee........kumbe niliandika baraka.......hii inaonyesha ni kiasi gani serikali inatukoroga............
 
" Majaliwa ni mtu mwenye hekima na busara ya hali ya juu anayejua kuchagua maneno yake"- Kigwangalah
 
Tuache itikadi na makundi Kassim Majaliwa Kassim yuko vzr labd aanze kuharibika kwanzi sasa hivi...
 
Hii sio nchi ya kifalme bhana, ushemeji kwenye uongozi ptuuu,
 

Pasco punguza propaganda binafsi namfahamu Majaliwa,hana undugu na Salma Kikwete.Namjua tangu akiwa anafundisha chuo cha Ualimu Mtwara na alikuwa kocha wa timu ya soka pale Mtwara, hayuko aggressive kama Magufuli lakini jamaa ni mchapakazi
 
Cheupe za siku?

Wewe mbona macho hayo unayorembua umefanan na mbowe sisi hatusemi?

Ha ha ha Cheupe bana
Umepotea we jimama. Nakumbuka ulivyotolewa nishai na mi id kibao.Una mawazo kama ya mnyama ambaye ni haram kwako wewe jimama.
 
" Mwaka huu umekua mwaka wa neema kwa kua mungu amesikia kilio cha Watanzania"- Kangi Lugola
 
" Mhe Majaliwa ni miongoni mwa wanadamu wachache ambao hawapatikani kirahisi"-Kangi Lugola
 
Jamani mwenye CV ya Mheshimiwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya 5 wa Serikalai ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hebu atusaidie hapa, maana hili jina sio famous sana miongoni mwa masikio ya watanzania.

Tunamtakia Mhe. Kila la kheri
anaitwa proffesa
 

Maneno yako unayoyaandika, mara nyingi huwa yanaakisi yanakijiukweli ukweli fulani,

Hasa hapo 'ushemejini' nahisi kama unaelewa elewa.
 
" Nimewaona Saidi Kubenea na Mbatia wakifurahia wakati jina la Kasim Majaliwa likitajwa"- Kangi Lugola

Baadae Kubenea aliomba Lugola kufuta kauli yake kwan yy hakufanya hivyo.

Hali hii ilileta mtafaruku mkubwa kidogo hali iliyopelekea kubenea kutopata nafasi ya kuchangia mjadala.
 
Pasco punguza propaganda binafsi namfahamu Majaliwa,hana undugu na Salma Kikwete.Namjua tangu akiwa anafundisha chuo cha Ualimu Mtwara na alikuwa kocha wa timu ya soka pale Mtwara, hayuko aggressive kama Magufuli lakini jamaa ni mchapakazi
Mwaka gani alikuwa mwalimu wa chuo cha ualimu? Ina maana wewe ndugu wa Salma wote unawafahamu? Ukiambiwa mimi ni ndugu wa Magufuli utakataa? Ha ha ha haaaaa, watu wengine bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…