kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
we utakuwa mgeni mjini hapa so huwezikujua vitu hivi!Unajuaje kama JK ana mkono wake hapo? Mbona tunapenda kuongea na yale tusiyoyajua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we utakuwa mgeni mjini hapa so huwezikujua vitu hivi!Unajuaje kama JK ana mkono wake hapo? Mbona tunapenda kuongea na yale tusiyoyajua?
Tofauti na matarajio ya watanzani,safi sn mh.rais ni matumaini yangu ataendana na kasi ya mr.presdent
Tuombe Mola tupate baraza zuri la mawaziri.
Ila huyu Bwana aliyechaguliwa sasa kuwa PM nadhani
watu kama hawana mazoea nae ya kumpa michongo ya dili.
Mkuu OLESAIDIMU, rejea bandiko lile niliposema Mwigulu is the best, if the best if what Magufuli was looking for!. Japo Magufuli ni mtu mwingine lakini CCM ni ile ile!. Magufuli ameshauriwa kuweka boya he can push around atakavyo!. Angemuweka Mwingulu au Prof. Mhongo hawa ni watu real and genuine!, you can't push them around kuwaswaga tuu kama ling'ombe.
CCM ni ile ile kuwachagua watu fulani fulani kwa sababu za kijinga jinga tuu!. Kikwete mwenye GPA ya 2.1 alisimama na Prof. Mwandosya mwenye best brain ya GPA ya 4.5!, na Dr. Salim hata kwa macho tuu anaokena intelligent!. Sisi wengine vilaza unawaona kwa naked eyes. Kati ya watatu hao, kilaza wao ndio alikuwa JK, lakini ndie aliyechaguliwa na sababu zikatolewa ni 'mtu wa watu', ana 'sura nzuri', ana 'cheko na bashasha' hivyo anapendwa na watu na anachagulika kuliko hizo best brain!. Hizo ndizo zilizomfanya JK apete na matokeo tumeyaona!.
Ndani ya CCM kuna vichwa, vilaza na magarasa!, mtu anapoacha kuchagua vichwa na badala yake kucheza na magarasa, then lets hope hivyo vichwa kama Mwingulu, amemsave the best for the last kumleta kwenye wizara ya Fedha na Uchumi au Viwanda, Biashara na Uwezeshaji!. Na Prof. Mhongo kwenye wizara ya Nishati na Madini!.
Haijalishi PM ni nani, bali the reasons behind kwa nini ni fulani!.
Lowassa alipokuwa PM alimu outshine vibaya JK!, kwa sababu EL was was dominant gene na JK was weak!, hivyo kumfix was appropriet!. Ben was dominant Sumaye was weak!. Magufuli is dominant, Majaliwa is weak! tena usikute its true ni shemeji wa JK kama ilivyo kwa Hawa Ghasia au Shukuru Kawambwa!, pia tujiandae kwa R1 kupewa u Deputy, 2020 full minister ready for 2025 ni zamu ya Muislamu!.
Pasco
Umepotea we jimama. Nakumbuka ulivyotolewa nishai na mi id kibao.Una mawazo kama ya mnyama ambaye ni haram kwako wewe jimama.Cheupe za siku?
Wewe mbona macho hayo unayorembua umefanan na mbowe sisi hatusemi?
Ha ha ha Cheupe bana
anaitwa proffesaJamani mwenye CV ya Mheshimiwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya 5 wa Serikalai ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hebu atusaidie hapa, maana hili jina sio famous sana miongoni mwa masikio ya watanzania.
Tunamtakia Mhe. Kila la kheri
Mkuu OLESAIDIMU, rejea bandiko lile niliposema Mwigulu is the best, if the best if what Magufuli was looking for!. Japo Magufuli ni mtu mwingine lakini CCM ni ile ile!. Magufuli ameshauriwa kuweka boya he can push around atakavyo!. Angemuweka Mwingulu au Prof. Mhongo hawa ni watu real and genuine!, you can't push them around kuwaswaga tuu kama ling'ombe.
CCM ni ile ile kuwachagua watu fulani fulani kwa sababu za kijinga jinga tuu!. Kikwete mwenye GPA ya 2.1 alisimama na Prof. Mwandosya mwenye best brain ya GPA ya 4.5!, na Dr. Salim hata kwa macho tuu anaokena intelligent!. Sisi wengine vilaza unawaona kwa naked eyes. Kati ya watatu hao, kilaza wao ndio alikuwa JK, lakini ndie aliyechaguliwa na sababu zikatolewa ni 'mtu wa watu', ana 'sura nzuri', ana 'cheko na bashasha' hivyo anapendwa na watu na anachagulika kuliko hizo best brain!. Hizo ndizo zilizomfanya JK apete na matokeo tumeyaona!.
Ndani ya CCM kuna vichwa, vilaza na magarasa!, mtu anapoacha kuchagua vichwa na badala yake kucheza na magarasa, then lets hope hivyo vichwa kama Mwingulu, amemsave the best for the last kumleta kwenye wizara ya Fedha na Uchumi au Viwanda, Biashara na Uwezeshaji!. Na Prof. Mhongo kwenye wizara ya Nishati na Madini!.
Haijalishi PM ni nani, bali the reasons behind kwa nini ni fulani!.
Lowassa alipokuwa PM alimu outshine vibaya JK!, kwa sababu EL was was dominant gene na JK was weak!, hivyo kumfix was appropriet!. Ben was dominant Sumaye was weak!. Magufuli is dominant, Majaliwa is weak! tena usikute its true ni shemeji wa JK kama ilivyo kwa Hawa Ghasia au Shukuru Kawambwa!, pia tujiandae kwa R1 kupewa u Deputy, 2020 full minister ready for 2025 ni zamu ya Muislamu!.
Pasco
Mwaka gani alikuwa mwalimu wa chuo cha ualimu? Ina maana wewe ndugu wa Salma wote unawafahamu? Ukiambiwa mimi ni ndugu wa Magufuli utakataa? Ha ha ha haaaaa, watu wengine bwana!!Pasco punguza propaganda binafsi namfahamu Majaliwa,hana undugu na Salma Kikwete.Namjua tangu akiwa anafundisha chuo cha Ualimu Mtwara na alikuwa kocha wa timu ya soka pale Mtwara, hayuko aggressive kama Magufuli lakini jamaa ni mchapakazi
halafu ni dini gani?Kassim Majaliwa waziri mkuu ni kabila gani?