Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Ndugai anafeli mapema kabisa,Anamtetea msaidizi wake amejibu swali moja tu katika matatu aliyoulizwa,Sijui elimu yake lakini kwa haya maelezo MAGDALENA SAKAYA ni zaid ya Dr.Tulia.
 
Mgombea nafasi ya uspika Tulia ameshindwa kujibu swali lini alijiunga Na ccm, Mh.Ndugai amemlinda Na kumwondoa kwenye kizimba!
 
Nimeamini Dr tulia in jembe. Ni kichwa. Atatuongoza vizuri. ni msomi mwenye PhD katika sheria.



Anajiamini na ni msomi bobezi
 
Dr. Tulia atashindwa kuendesha bunge...
 
Kisura,kiumbo na kiumri yule dada hafai kuwa naibu spika labda kwa elimu alokua nayo.
 
amebebwaaa, amebebwaaa, amebebwaaaa, amebebwaaaa, amebebwaaaaa!!!!!
 
Yani hapo kwenye Gpa anaingia mara mbili na kubaki chenji ya 0.3 duh hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…