Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

hili ndo swali muhimu,,mtu hawezi hata kujieleza si bora wangemwacha zungu agombee,,
kumbe wanapeana peana tu vyeo hawa watu

Mkuu Zungu ni mwanaume, pale alitakiwa mwanamke kwani spika ni mwanaume. Hiyo ndio habari ya usawa wa jinsia.
 
 
uhalisia ni kwamba, MKapa makamba na kikwete ndio remote control wa magufuli

remote hucontrol kifaa husika baada ya kuamrishwa na mmiliki. sasa katika hao hapo wanaamrishwa na nani na wao kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…