Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

hili ndo swali muhimu,,mtu hawezi hata kujieleza si bora wangemwacha zungu agombee,,
kumbe wanapeana peana tu vyeo hawa watu

Mkuu Zungu ni mwanaume, pale alitakiwa mwanamke kwani spika ni mwanaume. Hiyo ndio habari ya usawa wa jinsia.
 
Magwini utawajua tu

Ahahaha boss mm siasa imenpitia upande kdogo sina chama...ila napenda anaemponda mwenzie atoe hoja ya msingi kwa nn humtaki kwa vigezo vipi na kwa mawazo yako ww ulistahili nani awepo pale..ila nlichoona kwa jamaa ni uchama zaid wakati kampeni za uchaguzi zmeisha..tushirikiane jaman nchi isonge mbele sio mda wa porojo tena
 
uhalisia ni kwamba, MKapa makamba na kikwete ndio remote control wa magufuli

remote hucontrol kifaa husika baada ya kuamrishwa na mmiliki. sasa katika hao hapo wanaamrishwa na nani na wao kwa nani?
 
Back
Top Bottom