TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Hongera Prof. Mpanduji, natarajia baada ya miaka miwili tutakuwa na viwanda/mitambo midogo midogo ya kuzalisha sukari...ili tuondoe ukiritimba wa wauza sukari wakubwa.Mkuu tatizo hizi teuzi zinamaliza wahadiri huko vyuoni.
Wadogo zako watafundishwa na nani waweze kuiva kama wewe??!!
Acha kuleta lugha za kutugawa watanzania.Saizi ukiwa na jina la Kisukuma tu unakamata shavu. Wakuu wa mikoa wasukuma wako tisa kati ya makabila 130 ya Tanzania
Wivu wa kike huo mkuu! Sasa kama wamesoma kwa nini wasipewe? Kwa ujumla Prof. Mpanduji anastahili hiyo nafasi. Ila huyu Rais atatumalizia Lecturers wetu jamani, sasa watoto wetu watafundishwa na nani?Saizi ukiwa na jina la Kisukuma tu unakamata shavu. Wakuu wa mikoa wasukuma wako tisa kati ya makabila 130 ya Tanzania
Kimombo...! kinakuwaje...muhimu zaidi kuliko kuzalisha graduate wanaojiweza-? Mfano, Kwa upande wa kihandisi kule tunasema lugha yao ni hesabu na mchoro ambavyo havihitaji maelezo mengi kihivyo katika kimombo. Lakini kule wanatoka vijana wako supa katika masuala ya mitambo, umeme, ujenzi, nakadhalika...!hapa ndipo penye tatizo mkuu...na akiondoka prof mzoefu wanabaki wahadhiri wa shule za kata ambao hata kimombo chao ni cha kuungaunga...ni shida lakini hakuna jinsi.
basi nadhani watakuwa Prof Mpanduji 3 pale SUA ila sidhani kama Prof wa Vet Medicine anaweza kuteuliwa SIDO. prof aliyeteuliwa ni yule wa Agric Eng. fuatilia vizuri.Vet medicine. Wote vichwa
Succession plan inafanyakazi. hata hivyo watu hawa uwa wanatengewe muda wakuja kufundisha...mfano Prof. Dihenga alipokuwa Katibu mkuu wa wizara. Hakijaharibika kitu.Wivu wa kike huo mkuu! Sasa kama wamesoma kwa nini wasipewe? Kwa ujumla Prof. Mpanduji anastahili hiyo nafasi. Ila huyu Rais atatumalizia Lecturers wetu jamani, sasa watoto wetu watafundishwa na nani?
Siku hizi nasikia wanaitwa Engineering Sciences and Technology chini ya Chuo cha Kilimo(College of Agriculture)basi nadhani watakuwa Prof Mpanduji 3 pale SUA ila sidhani kama Prof wa Vet Medicine anaweza kuteuliwa SIDO. prof aliyeteuliwa ni yule wa Agric Eng. fuatilia vizuri.
mkuu, nakumbuka prof Dihenga alipotolewa SUA alikuwa hafundishi....alikuwa registrar.Succession plan inafanyakazi. hata hivyo watu hawa uwa wanatengewe muda wakuja kufundisha...mfano Prof. Dihenga alipokuwa Katibu mkuu wa wizara. Hakijaharibika kitu.
Operesheni chakaza hiyo Kikwete hiyo!!Huyu Omari kwanini katenguliwa aisee. Si alipewa na JK juzi juzi tu hapa.. au ni performance ya chini sana.
Teeeh. Kwahiyo atarudi COSTECH au anakuwa kitaaOperesheni chakaza hiyo Kikwete hiyo!!
Mimi ni mpwani ila ulichongea ni kweli, pwani wavivu, wanapenda sana umwinyiMi nasema simungu'nyi maneno sehem ambazo zikipewa kazi zinaisimamia vema
Kanda ya kaskazini, moshi. Arusha na manyara kidogo
Kanda ya ziwa, kagera , mwanza na. Kigoma, Shinyanga na tabora
Ukanda wa mbeya, na mtwara kidogo,
Lakin pwani siwafichi , na wazawa wa Dar es salaam huwa mnatuangusha sana sana