Mwita Buruji
Member
- Aug 14, 2015
- 94
- 79
Magufuli.. mkumbuke basi na Mwalimu wangu Dr. Riwa.
hata JK wa 2??Mi nasema simungu'nyi maneno sehem ambazo zikipewa kazi zinaisimamia vema
Kanda ya kaskazini, moshi. Arusha na manyara kidogo
Kanda ya ziwa, kagera , mwanza na. Kigoma, Shinyanga na tabora
Ukanda wa mbeya, na mtwara kidogo,
Lakin pwani siwafichi , na wazawa wa Dar es salaam huwa mnatuangusha sana sana
Nilijua lazima uwe muhaya we we kwani lazima utaje course ?? Haha am jocking buanaHongera sana Prof Mpanduji SM kwa kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa SIDO.Pia kwa upande wa pili Potential moja muhimu sana tumeondolewa sisi wana SUA
Nakumbuka kozi ulizonifundisha
AE 112 ENGINEERING MECHANICS STATICS
AE 115 ENGINEERING MECHANICS DYANAMICS
AE 217 ENGINEETING MATERIAL TECHNOLOGY.
All the best prof.
Kwa taarifa yako ukienda vijijini usukumani ni nyumba chache sana zina vyoo. Sasa hizo shule zenu hamkufundishwa uzuri wa nyumba choo. Hata wachagga walitutesa sana kipindi cha shemeji yao Mkapa na nyie miaka mitano tu inawatosha mtaondolewa kwenye system. Wachagga waliwahi kusema wamesoma kuliko watanzania wengine naona na nyie mmeota mapembe jamaa hajafikisha hata mwaka mmojaAcheni wivu,wasukuma tumepiga shule na tunachaguliwa kihalali kabisa,kama nyie mlikimbia umande poleni
Kwani kabila gani ambalo hawajasoma? Tanzania nzima hakuna genius msukuma, saizi ni mbeleko tu. Jiji la Mwanza matajiri wote ni wakurya na wachagga wasukuma ni watazamaji tuWivu wa kike huo mkuu! Sasa kama wamesoma kwa nini wasipewe? Kwa ujumla Prof. Mpanduji anastahili hiyo nafasi. Ila huyu Rais atatumalizia Lecturers wetu jamani, sasa watoto wetu watafundishwa na nani?
Kuna mahali wamezungumzia biashara hapo? Yaani unataka kazi za professional wapewe wafanyabiashara? Wacha hizo bwana! Nasikia hata Diallo ni Mkurya! Hata Kishimba ni Mchagga!Kwani kabila gani ambalo hawajasoma? Tanzania nzima hakuna genius msukuma, saizi ni mbeleko tu. Jiji la Mwanza matajiri wote ni wakurya na wachagga wasukuma ni watazamaji tu
OK ......View attachment 367312
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Sylvester Michael Mpanduji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO).
Prof. Sylvester Michael Mpanduji alichukua nafasi iliyoachwa na Mhandishi Omary Jumanne Bakari ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
taarifa nilizonazo nikuwa alipokuwa katibu mkuu, alikuwa anaenda kuwafundisha wanafunzi wa mwaka wa nne ,alikuwa anatengewa wiki mbili.mkuu, nakumbuka prof Dihenga alipotolewa SUA alikuwa hafundishi....alikuwa registrar.
waislam wasomi wako wengi sana tatizo ni kuendekeza mfumo kristo...Hao wakristo wamelisaidia nini taifa mbona bado ni masikiniVibaraghashia hawana kitu refer matokeo ya form six ndo utajua hata mkulu anakosa wa kumchukua...maana wao ni kulaum tu kusoma hamna
Wewe uko nyuma ya wakati kabisa unatembelea historia. Nani kakwambia Diallo na Kishimba ni matajiri leo hii 2016. Uliza wafanyakazi wa Diallo kama mishahara ya June wamepata!!!Kuna mahali wamezungumzia biashara hapo? Yaani unataka kazi za professional wapewe wafanyabiashara? Wacha hizo bwana! Nasikia hata Diallo ni Mkurya! Hata Kishimba ni Mchagga!
Wewe utakuwa Mkurugenzi Mkuu wa Umbeya na Majungu siku Lowassa akiwa mwenyekiti wenu.ngoja namimi nijiite profesa mdukuzi labda nitakuwa mkurugenzi wa taasisi ya tezidume Tanzania
Bado wewe, unaandaliwa kitengo. Mwaka wa neema huu.OK ......
Unadhani hiyo ni sifa ya mtu kuwa Mkurugenzi wa SIDO? Hiyo ni kama zile sifa za CCM; mpole, mtu wa watu, asiyependa makuu, n.k. sifa zisizopimika kabisa!Prof Mpanduji Alirudi toka PhD niko MSc...s very good person. Down to earth...hadi leo hii. Mungu ambariki
We kweli msukuma au unajaribu kukaanga mbuyu?Acheni wivu,wasukuma tumepiga shule na tunachaguliwa kihalali kabisa,kama nyie mlikimbia umande poleni