Rais Magufuli amteua Prof. Sylvester Mpanduji Mkurugenzi SIDO

Narudia tena kuna watu nimesoma nao wenye majina yafuatayo lakini ni wakiristo
Shabani Maulidi
Juma Hussein
Ally Ramadhani

Hao wote ni wakiristo na wana nafasi kubwa tu humo kweny serikali yenu.

Na kuna wenye majina ya kikiristo lakini ni waislamu
Baadhi yao ni hawa wafuatao:-
Joseph John Magesa
Paul Swai

Acheni kupandikiza mbegu za chuki. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya imani ya mtu na jina lake.
 
Wewe ki la za ,nimesema wasomi,na hachagui kwa vile wasukuma.Anachagua kwa vile ni wasomi,waadilifu na ni wachapa kazi,
 
Acheni wivu,wasukuma tumepiga shule na tunachaguliwa kihalali kabisa,kama nyie mlikimbia umande poleni

Wewe ki la za ,nimesema wasomi,na hachagui kwa vile wasukuma.Anachagua kwa vile ni wasomi,waadilifu na ni wachapa kazi,

Shule gani hiyo uliyopiga kwa fikra za aina hii?
Nimekunukuu hapo juu ili uone uzembe wako wa kuchagua maneno. Kwa makini kabisa nikiangalia, unajaribu kupandisha mabega na kutaja kabila lako la wasukuma. Miaka yote hukuwahi kusema kwamba wewe ni msukuma iweje leo hii unapoona uteuzi wa aina hii?

Ndo maana niliuliza nikidhani labda una akili kidogo na umejaribu kuonyesha tatizo kwa crinch, kumbe unadhamilia kabisaaaa kujiita msukuma! Hopeless creature.
 
Wewe huna akili kabisa,jamani hiyo post ya kwanza kabisa nilikuwa namjibu mtu,wewe ni bonge ya kilaza,eti sijawahi kusema mimi ni msukuma,fuatilia posts zangu humu JF,wewe umejiunga jana nini?lala mbele
 
Wewe huna akili kabisa,jamani hiyo post ya kwanza kabisa nilikuwa namjibu mtu,wewe ni bonge ya ******,eti sijawahi kusema mimi ni msukuma,fuatilia posts zangu humu JF,wewe umejiunga jana nini?lala mbele
Unamjibu mtu mmoja kwenye public halafu unategemea nini? Kama ni yako na yeye why expose the rubbish to the public? Bhla! Bhla! za nini? Usijiumbue kwa matusi bureee! Jenga hoja. Mambo ya usukuma usukuma haukupi reasoning.

Come down to your senses! Tukikuacha baadaye utavua nguo, kisa wewe msukuma.
 

Yupo Donald Mpanduji wa Faculty of Veterinary Medicine.
 
Big up Eng. Prof. Mpanduji!We expect a big change for SIDO!all the best

What makes you expect 'a big change for SIDO' (sic)? Is Prof. Mpanduji a proven leader in the development of light industry? Have you seen his CV? Can you share? Or we are just assuming that because he is a professor, he can do everything?
 
Mwaka utaisha bado tunatengua na kuchagua tu
 
mhh kwani yule wa jana na sam mahela wa dk 45 si mkurugenzi wa sido na yeye au, ndio hiyo kapigwa chini?
 
Hivi dhumni la sido huwa linatekelezwa ama lipo ki siasa zaidi
 
mhh kwani yule wa jana na sam mahela wa dk 45 si mkurugenzi wa sido na yeye au, ndio hiyo kapigwa chini?
Alihojiwa kabla hajapigwa mtama!!

Sasa hivi anaugulia maumivu huko aliko na hasa kama alikiona kipindi cha jana akihojiwa na kujibu kwa ukakamavu!!!
 
😛😱
 
Afadhari maana tulizoe kusikia wa UDSM tu sasa kaamia vyuo vingine. Japo alimteua Prof wangu mama Pereka wa SUA UDSM asa idara ya Chemistry walizidi.
 
What makes you expect 'a big change for SIDO' (sic)? Is Prof. Mpanduji a proven leader in the development of light industry? Have you seen his CV? Can you share? Or we are just assuming that because he is a professor, he can do everything?
I know him, he is one of very good mechanical and hydraulics engineer!He has demonstrated such competencies throughout his carrier especially to some rural/local areas technology transfer, only that he had no enough time to do so because of teaching load, research, consultancy and adminstrative works!I think now he has time for that now!He is a good team leader, being associate dean of faculty of Agriculture for 6 years and head of Department of Engineering sciences and technology or priviously agricultural engineering. I thing he proves to have leadership skills more than anyone can request.
But I agree with you, performance at a University levels and through consultancy and research doesnot guarantee a country level performance. However who in the world was born with such a huge a experience? Its only fair to think positive of someone from the experience at hand. So we give him time and hope for the best! That is why I expect big positive changes to SIDO. I think I have made my expectations clear so Iam not "Sick" , dear friend.
 
Kwa taarifa tu ni kuwa SIDO ina changamoto nyingi sana kwa hiyo ni taasisi ambayo vision na mission yake haikuweza kufikiwa tangu ianzishwe mwaka 1973. Kwa misingi hii ni lazima apatikane kiongozi makini ambaye anaweza kuirudisha na kuiekeleza vision ya sido ya kuendeleza viwanda vidogo hasa kwa lengo la kuwa feeder Industries. Sasa basi SIDO imebaki kama capacity building institution na inatoa financial services that is micro loans. Kazi ipo sana.
 
Wamefoji vyeti,hamna kitu kama hicho labda kungekuwa na muingiliano wa jina moja moja ningeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…