Rais Magufuli amteua Prof. Sylvester Mpanduji Mkurugenzi SIDO

Nchi hii hata ukiwa kilaza lakini una jina la roma haina shida
 
Mbona anateua sana kila siku inayoenda kwa Mungu lazima ateue
Zamani kwani hawa watu walikuwa wanapatikanaje mbona nilikuwa sisikii kuteuateua!
Uongozi mpya, na safu mpya.
 
Wivu wa kike huo mkuu! Sasa kama wamesoma kwa nini wasipewe? Kwa ujumla Prof. Mpanduji anastahili hiyo nafasi. Ila huyu Rais atatumalizia Lecturers wetu jamani, sasa watoto wetu watafundishwa na nani?
Pole sana!
 
Dr Mpanju kutoka WHO hadi ukuu wa hospital ya Benjamin Mkapa kwa kweli sikupi hongera
 
Naweka rekodi sawa , prof Sylvester Mpanduji ambaye kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi SIDO alikuwa Head of Department of Engineering , Science and Technology ( DEST,) pale SUA ni msukuma na ana ndg yake ni prof pale VET SUA pia ndg yake Prof pale COET wote wanaitwa Mpanduji

Ukoo wa Mpanduji ni moja ya familia za kisukuma pale jijini mwanza zilizokuwa tajiri sana , na MZEE wao aliwekeza kwenye elimu kuwasomesha ,

Mpanduji ni Wasukuma ,

Ni prof safii sana na anayeenda na wakati , alikuwa anafundisha masomo ya Material technology, Machinery Design, Engineering dynamics and Statics, Fluid Mechanics n.k

Hakika SUA hasa engineering wanaisha but anaweza kuwa anafanya kama alivyokuwa anafanya katibu Mkuu wizara ya sayansi na teknolojia awamu ya JK , prof Makungu , alikuwa anarudi SUA kufundisha japo alikuwa katibu Mkuu
 

So you know him! Failure of your own assessment! Confused of how managerial CV differs from academic one. Heading an academic department and an innovation needing institution are polar opposite of the same field. No wonder whenever we invite your CV, you end-up forwarding a countless number of publications.

Tell us, how has he contributed to the innovation such that, he will be instrumental to the needy SIDO. Stop those stories of academic CVs. We know them! Teaching is no similarity to the needed technological innovation supposed to be enhanced by the institution, he now leads.

I predict his soon failure because I had never heard of him anywhere in a group of innovative engineers.
 

Thanks. So, we agree Mr. President is experimenting with professors this time around. Prof Mpanduji is not a proven business leader. It seems he has been in the academia for his entire career so far. And now that he has time to lead SIDO, who will do the teaching and researching then?
 
Wivu wa kike huo mkuu! Sasa kama wamesoma kwa nini wasipewe? Kwa ujumla Prof. Mpanduji anastahili hiyo nafasi. Ila huyu Rais atatumalizia Lecturers wetu jamani, sasa watoto wetu watafundishwa na nani?

Google na wikipedia labda!😉😉😉😉
 
Hongera sana mwalimu wangu, Professor Mpanduji,....ulinifundisha kozi ya Agricultural Engineering katika kampasi ya Sohlomon Mahlangu na sasa nimekuwa mhandisi wa mitambo niliyeiva.
Hivi hao wahadhiri wanaoondolewa kwenye vyuo nani anaziba mapengo yao?
 
So na wanafunzi wanaotoka vyuo wasipewe nafasi hata kama sifa wanazo sbb walikua tu wanasoma? Hapo hapo tunalalamika nafs zinazotaka experience, ushajiuliza je ingetokea huyo prof akafa au akastaaf nani atafundisha?
 
Aisee, wewe itakua una roho mbaya sana unapredict failure ya mwenzio ambae hata haumjui, kwa sbb haujamsikia wewe haina maana kua si mzuri, wewe mwenyewe ulifundishwa ukafanya kazi,
 

Lugha ya malkia ngumu kidogo lakini nimekuelewa kidogo, tatizo watanzania hatujui tunahitaji nini, wapi na wakati gani, academic qualification can not clarify somebody competability somewhere, uhalisia wa mambo mengi tanzania haupo. SIDO doesnt need academic CV karne hii ya 21, sido inahitaji mbobezi mwenye exposure ya innovation and handcrafting.
 
Kikwete kafikaje hapa?
Kikwete katoka Pwani unapozungumzia pwani jiongelee wewe binafsi sio watu wa Pwani,infact hiyo ni propaganda ya watu wa mikoani kujipa ajira wao kama huyu unayemtetea hapa ambaye anawapa kazi watu wa kanda ya ziwa.Kama we Watanga,Lindi au Mtwara zungumzia mkoa wako.Kama watu wa Pwani wavivu ulishasikia mikoa ya Pwani au Dar kukumbwa na njaa? au angalia list ya mikoa tajiri na maskini Tz kuna mkoa hata mmoja wa Pwani ulio katika orodha ya mikoa ya watu wenye umaskini wa kipato? then angalia hiyo mikoa inayoongoza kwa umaskini na njaa utaona ndio hiyo mikoa unayofikiria kwamba kuna watu wanaofanya kazi sana.Pwani asili yake ni kutumia akili sio nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…