Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hapo sasaMh JPM kufanya kweli na Mungu analiona hili.
Kuna wafanya kazi serikalini kazi yao ni kukomoa biashara.
Usidharau biashara,Kuna watu wako na mashine za kusaga kwa siku anapata faida zaid ya mwenye hotelCLEVER BOY, SIO WALE WENGINE WALIOWEKEZA KWENYE MASHINE ZA KUSAGA . UMETUMIA UBUNGE WAKO VIZURI HUTAKUFA NJAA
Si vema kulinganisha na issue ya Billcanas. Ya mmiliki wa club aliyeshindwa kulipa deni la pango NHC kwa miongo. Issue iliyoamuliwa kisheria na Mahakama Kuu.Umesahau mkasa wa Billcanas?
Msikivu mwenye kujali ?🤣🤣
Kuna muwekezaji alikuwa mmiliki wa hotel iliyopo kitonga kwa sasa imekufungwa naye NEMC ilimfungia sababu yupo karibu na chanzo cha maji, naye aruhusiwe kuendeleza biashara yake.Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa.
Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri.
Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika.
Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine.
Maendeleo hayana chama
View attachment 1659613
Wivu tu vibali vimetolewa na wao leo wasingizie mazingira wakati anajenga hawakuliona Hilo?Wakati wanajenga hao NEMC walikuwa sayari gani
Siyo hisani kwani taratibu hazikufuatwa?hoteli ya nyota unaweza jengwa kiholela l?Tunaishi kwa hisani ya jiwe na siyo sheria na taratibu za nchi
Tengeneza kesi, afu itatue mwenyewe; unajitekenya na kucheka mwenyewe! Uungwana gani hapo zaidi ya kutafuta sifa za kijinga tu?Asiyeelewa! Angekataa ombi la kutaka amsugue,Hotel ingebomolewa tu! CCM Oyeee!
Kwa kweli JPM ni muungwana saanaa.
Sasa kama ni hivyo kwanini itumike njia ndefu katika Kumshawishi ajiunge huko unakokuunga Mkono hadi muwafanye Watanzania Wapumbavu?Akihamia sio jinai, hiyo ndio maana halisi ya demokrasia
Njia ndefu ni Ile wanayotumia Tundu na lema kutafuta ukimbizi kwa kisingizio cha siasaSasa kama ni hivyo kwanini itumike njia ndefu katika Kumshawishi ajiunge huko unakokuunga Mkono hadi muwafanye Watanzania Wapumbavu?
nikimuangalia huyu RC na matamko yake ya siku za nyuma,mmh.Yaani viongozi wanaotegemeaboss kaamkaje!!RC alishindwa kutoa tamko kabla Rais hajaingilia?Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa.
Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri.
Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika.
Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine.
Maendeleo hayana chama
View attachment 1659613
Kwa Mbinu zenu za Kutishia Uhai wa Mtu au Kumtia Umasikini wa Kudumu kama asipokubaliana nanyi hata ingekuwa Mimi ningekuwa Mpole pia.Njia ndefu ni Ile wanayotumia Tundu na lema kutafuta ukimbizi kwa kisingizio cha siasa
Mwacheni mzalendo Joseph Mbilinyi aka Sugu afanye uwekezaji kwa maslahi ya nchi yake
Na sasa ndio mtajua Sugu 98% ni bora kuliko Tundu
Hatakufa njaa kivip mkuu fikiria ilo swala lingetimia na hotel ikavunjwa???, dunia Ina mambo meng imeyaweka kwa jili yetu na siku zinavyo zid kwenda inaenda inatukabidhCLEVER BOY, SIO WALE WENGINE WALIOWEKEZA KWENYE MASHINE ZA KUSAGA . UMETUMIA UBUNGE WAKO VIZURI HUTAKUFA NJAA
Bora ilivyoachwa tu ingebomolewa ilibidi mnyororo mzima wa watendaji walioiidhinisha vibali vya ujenzi wote watolewe/watumbuliwe.
Kwani haingii akilini usemi leo anahatarisha chanzo cha maji na wakati toka mwanzo wewe ndo umeweka saini yako kwenye nyaraka kuidhinisha ujenzi ufanyike.