Nilijua tu huna uwezo wa kujibu hoja. Hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika hayoHebu punguza utopolo aisee.
Alikuwa anadaiwa shillingi ngapi?
Tujiulize je kuna wengine waliovunjiwa kama Mbowe, pamoja na kuwa walikuwa wapangaji wa NHC?
Kama jibu lilikuwa kavunjiwa Mbowe peke yake, inadhibitisha kuwa nchi hii ina "double standards" ya hali ya juu linapokuja suala la utekelezaji wa sheria za nchi hii, wakati huo huo Rais wetu haishi kusema kuwa Maendeleo hayana Chama!
Sasa ungewauliza wakupe data ndipo uje hapa,"No research no right to speak".NHC watakufa na taarifa sahihi!!
Sasa ungewauliza wakupe data ndipo uje hapa,"No research no right to speak".
Umemaliza.Haijakamilika. Atatoa wapi pesa za kuimalizia akiwa hapa Bongo ?Acha akatafute dola Canada. After 5 yrs atarudi.Huyo unaesema amekimbia anahotel nzuri jirani na lile hekalu la mengi,bado vitu vidogo ikamilike....yule katishiwa maisha sana na kukoswa mara kadhaa sio mjinga kuondoka nchini kwake
Pigo kwa sugu?????Lingekuwa na pigo jingine kwa Mr. Sugu. Heri Rais ameamua kuingilia kati. Zimwi likujualo.......!
Wabongo tumeisha mshitukia,nafsi yake Haina armani kwa maovu aliyoyatenda tangu aingie Ikulu,nchi imemshinda kuongoza,yaani Swala la hotel,mpaka litatuliwe na Ikulu!!!Siasa ni game,ukute mzee ndio aliruhusu jamaa wafanye hivyo huku akijua kuwa baadaye atawazuia ili kujitengenezea umaarufu wa kupendwa na wananchi.Siasa inadeal Sana na kucheza na akili za Watu.
Ni kweli kuna muda mwingine unaweza kuwa unafanya mambo ambayo hata mwenyewe nafsi inakusuta.Mbona bilcana ya mbowe aliibomoa ikiwa na vibali vyote,labda roho mtakatifu kamuingia
Ulishawahi kukutana na majambazi usiku!!??Sugu amesimama kwa adabu zote, ule umwamba wa rais wa Mbeya wote umepotea. CCM ni balaa.
Akili za watanzania wengi zimebuma hawawezi kuona wala kuwaza tena! Hivi kweli unaamini kuwa waliokuwa wanataka kubomoa hawajatumwa na huyo huyo anayejitia "kumuonea huruma mnyonge"?Tunampongeza Rais wetu anayewajali na kuwalinda wawekezaji wa NDANI bila kujali vyama vyao,
Ila sasa ilikuwa inataka kubomolewa kwa mujibu wa sheria au kwa bifu za Kisiasa na kukomoana?
Sasa Rais wetu mpendwa akimaliza muda wake 2025 tunajuaje kama anayekuja hataendeleza hiyo nia mbaya ya kubomoa Hoteli hiyo? Kwa nini Bunge letu tukufu lisitunge sheria KALI ya kuwalinda wawekezaji wa NDANI zikiwepo NGOs, Viwanda au Makampuni na kuwashughulikia watu wenye nia mbaya ya kuwakwamisha wawekezaji?
Mungu alivyo mwema, Wizra ya uwekezaji ipo chini ya Rais na Waziri wake ni Professor-who knows better about investment opportunities in the country.
Hongera RC,
Asante Rais wetu--mtetezi wa wanyonge
Huyu rais anafanya kazi ngapi? Ilikuwa kwanza amtumbue huyo wa nemc ndo azuie ubomoaji wa hiyo hotel.Lingekuwa na pigo jingine kwa Mr. Sugu. Heri Rais ameamua kuingilia kati. Zimwi likujualo.......!
Zwazwa wewe.Mwenye hotel ni lazima ni msukuma/ mfadhili mkuu wa chama cha Jiwe!