Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

Naomba mnisaidie,hivi Hawa jamaa ndo wenye pori tengefu la Loliondo kule linachukua vijiji ukianzia Ololosokwani Hadi maeneo ya huku Pinyinyi
No,hao Ni United Arab Emirates Kama sikosei
 
No,hao Ni United Arab Emirates Kama sikosei
Pori la Loliondo linamilikiwa (leased) kisheria za vitalu vya uwindaji na kampuni iitwayo Otterlo Business Corporation (OBE). wamiliki wa hiyo OBE wanatokea UAE na wa familia ya Kifalme lakini Loliondo haimilikiwi na UAE.

UAE miliki yao hapa Tanzania ni ubalozi wao tu, ambao hata polisi wa Tanzania haruhusiwi kuingia humo ndani labda iwe kaenda kama raia binafsi na si kiserikali. Na serikali ya UAE inaweza kumruhusu au kumkatalia kuingia bila kuwa na kosa lolote kidiplomasia au kwa sheria za Tanzania. Hata "search warrant" ya Tanzania huko haina maana.
 
January 19, 2020
Muscat, Oman

His Majesty the Sultan receives a message of condolences and sympathy from the President of Tanzania John Magufuli. The message was delivered by Tanzanian Foreign minister Palamagamba John Aidan Kabudi.



Source: Oman News Center
 
January 15, 2020
Muscat, Oman

Waziri Katika Afisi ya Makamu Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Mohamed Aboud awasilisha salamu za pole toka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dr. Ali Mohamed Shein.

Waziri Aboud alikuwa miongoni mwa wawakilishi toka nchi mbalimbali kama Kenya n.k waliowasilisha salaam na kutoa mkono wa pole kwa Mtukufu Sultan Haitham bin Tariq Al Said na wananchi wa Oman.


Source: Oman News Center
 
Hapana sio Oman walionunua, ni wa Dubai
 
Nchi hii hakuna wa kuuvunja huo mfupa,mengine watu wanaogopa kuzungumza.
Si ndo hao waliojenga Ile hoteli ya Bililla campsic pale kwenye milima ya fedha kabla hujafika seronera Kama unatokea Clens geti?
Hao Hao Yaani Hawawezi Kuguswa, Huko Ni Kama Lesotho Ilivyo Nchi Yenye Mamlaka Kamili Ikiwa Ndani Ya South Africa
Mkataba Huo Ni Kama Ini Kwenye Mwili Ukiuvunja Umeua
 
Sio wa Oman walionunua ardhi, ni wa Dubai
Naomba mnisaidie,hivi Hawa jamaa ndo wenye pori tengefu la Loliondo kule linachukua vijiji ukianzia Ololosokwani Hadi maeneo ya huku Pinyinyi
Ndiyo Hao Walionunua Kipande Cha Ardhi
Kwa Miaka 100 Yaani Huo Mkataba Ni Mfupa Mgumu Sana Uliomshinda Fisi.
Humu Jamiiforums.com Ipo Thread Inayozungumzia Hayo Makandokando Ya Mkataba
 
Kwanini asiende mwenyewe Magu huko Oman.Anyway yeye kabudi ameongeza nini huko kati ya oman na Tz.Hivi oman si nchi tu sawa na Oman.Tanzania bila ccm ingekuwa zaidi ya Oman

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa taarifa yako tu Tanzania inautajiri kulikio saudia arabia inaweza kuulisha afrika yote na dunia kwa ujumla lakini matatizo hawana akili wabongo
 
Ukialika kubali kualikwa. Sasa wewe hutaki kusafiri ila wao waje kwako...ni ngumu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Tulishindwa kumtumia yule Sultan kwa ajili ya mradi wa bandari ya bagamoyo sasa ni si rahisi tena kumleta sultan mpya onboard
 
Back
Top Bottom