Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

Kutumia Kiswahili kwenye hukumu na sheria, itakuwa faida kwa wananchi, ila itaathiri mapato ya Mawakili na Wanasheria.

Ugumu wa lugha ya kisheria (legal language) ni moja ya sababu ya wananchi kuwahitaji Wanasheria.

Sasa sheria zikiwa kwa Kiswahili, kila mwananchi atazielewa, halafu Mawakili na Wanasheria watakosa kazi.

Siri ya kazi itafichuka soon!
Wewe hujui chochote kuhusu sheria! Kujua Kiswahili siyo kujua sheria!
 
Kuna mtu anasisitiza matumizi ya lugha ya kiswahili lakini wakati huo huo na yeye anatumia maneno ya kiingereza! Challenge, AG, Amendment, East Africa Community, cut and paste, communication, very frustrating, appeal,imagine
Jamaa hajui Kiswahili wala Kingereza
 
Back
Top Bottom