P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Feb 2, 2021 #21 Ndio tuiondoe sasa
F Fumadilu Kalimanzila JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 1,770 Reaction score 5,423 Feb 2, 2021 #22 Joseph Martin Mmassy said: Kutumia Kiswahili kwenye hukumu na sheria, itakuwa faida kwa wananchi, ila itaathiri mapato ya Mawakili na Wanasheria. Ugumu wa lugha ya kisheria (legal language) ni moja ya sababu ya wananchi kuwahitaji Wanasheria. Sasa sheria zikiwa kwa Kiswahili, kila mwananchi atazielewa, halafu Mawakili na Wanasheria watakosa kazi. Siri ya kazi itafichuka soon! Click to expand... Wewe hujui chochote kuhusu sheria! Kujua Kiswahili siyo kujua sheria!
Joseph Martin Mmassy said: Kutumia Kiswahili kwenye hukumu na sheria, itakuwa faida kwa wananchi, ila itaathiri mapato ya Mawakili na Wanasheria. Ugumu wa lugha ya kisheria (legal language) ni moja ya sababu ya wananchi kuwahitaji Wanasheria. Sasa sheria zikiwa kwa Kiswahili, kila mwananchi atazielewa, halafu Mawakili na Wanasheria watakosa kazi. Siri ya kazi itafichuka soon! Click to expand... Wewe hujui chochote kuhusu sheria! Kujua Kiswahili siyo kujua sheria!
Hakainde JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 2,401 Reaction score 2,872 Feb 2, 2021 #23 Fumadilu Kalimanzila said: Wewe hujui chochote kuhusu sheria! Kujua Kiswahili siyo kujua sheria! Click to expand... Hakuna asiyejua chochote.
Fumadilu Kalimanzila said: Wewe hujui chochote kuhusu sheria! Kujua Kiswahili siyo kujua sheria! Click to expand... Hakuna asiyejua chochote.
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Feb 2, 2021 #24 Mtumishi aende akapiga kazi Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Feb 2, 2021 #25 Shift said: Kuna mtu anasisitiza matumizi ya lugha ya kiswahili lakini wakati huo huo na yeye anatumia maneno ya kiingereza! Challenge, AG, Amendment, East Africa Community, cut and paste, communication, very frustrating, appeal,imagine Click to expand... Jamaa hajui Kiswahili wala Kingereza
Shift said: Kuna mtu anasisitiza matumizi ya lugha ya kiswahili lakini wakati huo huo na yeye anatumia maneno ya kiingereza! Challenge, AG, Amendment, East Africa Community, cut and paste, communication, very frustrating, appeal,imagine Click to expand... Jamaa hajui Kiswahili wala Kingereza
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 2, 2021 #26 Hongera Sana Nenda Kachape Kazi Sasa
M mafutamingi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,773 Reaction score 2,183 Feb 2, 2021 #27 ras jeff kapita said: Huwa zimaendeshwa kwa Kiswahili but... records ndio zinawekwa kwa kingereza Click to expand... Hivi ile thesis ya JPM ya Masters na PhD yeye mwenyewe anaweza kuisema kwa Kiswahili?
ras jeff kapita said: Huwa zimaendeshwa kwa Kiswahili but... records ndio zinawekwa kwa kingereza Click to expand... Hivi ile thesis ya JPM ya Masters na PhD yeye mwenyewe anaweza kuisema kwa Kiswahili?
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Feb 2, 2021 #28 mafutamingi said: Hivi ile thesis ya JPM ya Masters na PhD yeye mwenyewe anaweza kuisema kwa Kiswahili? Click to expand... Sidhani kama ataweza kuisema kwa kiswahili
mafutamingi said: Hivi ile thesis ya JPM ya Masters na PhD yeye mwenyewe anaweza kuisema kwa Kiswahili? Click to expand... Sidhani kama ataweza kuisema kwa kiswahili