Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

Nikisomaga comments zako na hiyo avatar yako basi nahisi wewe ni mtu mwenye vituko vituko na wanaokuwa karibu yako wanaumia mbavu
Hamna bhana mi wa kawaida sana mbona kwanza kikazi niko kauzu kuliko huwezi amini.
Kama vipi bade kidogo ngoja nipupute vumi kwenye gari kwanza mda wa kurudi home unakaribia
 
Lazima kuwe na waangalizi wa kutoka nje kwani wa ndani hawana sauti. Lakini kuhusu corona Rais wetu amefanya vizuri ila tu ukosefu wa data ndiyo balaa. Huwezi kufanya mipango bila data!!!
 
Mwaka huu mtapiga ramli sana na uchaguzi utafanyika na JPM atarudi ikulu amilzie amiradi mikubwa aliyoiasisi na kuanzisha miradi mingine.....hutegemei pesa ya wahisani kuendesha uchaguzi wetu.
Hilo halina ubishi, toka day 1 alishasema baba mwenye nyumba ashinde asishinde lazma ccm itangazwe mshindi na atakayethubutu kutangaza kinyume chake kesho yake shangingi hana, hiyo ni kuanzia diwani mpaka ikulu.
 
Back
Top Bottom