Acha upumbavu wewe.....
Kiwanda changu cha kupasua kokoto Kunduchi kinasaidia nini wakazi wa Mabogini Moshi?
Zaidi ya kodi nazotoa TRA,hakuna kingine!
Wewe unadhani unaongea tu eti "kinasaidia wananchi" ndio sababu,hata ajira nazotoa ni "kusaidia" wananchi..
Hakuna biashara isiyowasaidia wananchi,labda kichwanda cha kutengeza heroine tu.....
Hoja yako ya wananchi ni dead on the arrival
Fundamental issue hapa ni kwamba HAKUNA UTAWALA WA SHERIA-RULE OF LAW....mahakama zinafata "maelekezo" hazipo independent
Mimi muwekezaji ikitokea Waziri yeyote wa utawala wa Magufuli ananichukia,basi nchi lazima nihamishwe na biashara yangu itafilisiwa na sina mahakama ya kwenda kudai haki yangu
Hatuwezi wekeza kwa "huruma" ya utawala,tunataka kuwekeza kwa mujibu wa "sheria" na hakuna mtu anaweza nifilisi atakavyo yeye na ninaweza enda mahakamani nikadai haki yangu na nikaipata kwa mujibu wa sheria
Huu unafiki Dangote ulimshinda akaondoka kaacha magofu ya viwanda Mtwara huko.....Hakuna maana
Sijaelewa unaongea mavi gani haya
Sikuelewi kabisa
Toa hoja ueleweke.....
Topic mezani ni kwamba ,UTAWALA huu wa huyu mungu mtu,hakuna anaetaka kuja kuwekeza hapa,infact wanaondoka....
Na sababu ni hizo tulizotoa hapo....Full stop.