Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

Matatizo ya uchumi huu
Ni government interference
Banks zinaingiliwa..
Accounts freeze.
Tra ndo judge na prosecutor..
Watu wanaficha hela majumbani now.
Tunapoelekea kubaya
Kweli kuna mambo TRA au serikali kiujumla wanakosea.
 
Kweli kuna mambo TRA au serikali kiujumla wanakosea.
Baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa huko TRA wachunguzwe mali zao majumba yao kuangalia kama vinaendana na vipato vyao halisi
 
Hadi banks sio safe tena
Account freezing ni anytime wakiku target
Kuna mtu wangu wa karibu sana amefungiwa account , 'Agency notice" kumbe ni sheria ya mwaka 2015!
Sikuwahi kudhani Kama swala hili lingeweza kumtokea mtu wa kawaida kabisa, honestly linaenda kuuwa kabisa sekta ya benki
 
whats wrong with that! izi ni very normal things for serikali yoyote duniani, kuna nchi inaizidi USA kwa kufreeze account na traces za money laundering?
Ku freeze account ambazo Zina traces za illigal activities ni sawa kabisa . Lakini sheria ya agency notice inafunga accounts za wafanyabiashara ambao ndio walipa kodi , usiombe kabisa hii Hali ikikute ,unaweza geuka chizi.
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' kinachofata watu hukimbia na pesa zao.

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekeza nchi za nje na nchi jirani, mwisho wa siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Thank you

At least leo umetoa angalizo la ujumla vizuri

Kuna sehemu hatujakaa vyema
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' kinachofata watu hukimbia na pesa zao.

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekeza nchi za nje na nchi jirani, mwisho wa siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Hivi kwani kishaanza kupokea ushauri ?
 
Kuna mtu wangu wa karibu sana amefungiwa account , 'Agency notice" kumbe ni sheria ya mwaka 2015!
Sikuwahi kudhani Kama swala hili lingeweza kumtokea mtu wa kawaida kabisa, honestly linaenda kuuwa kabisa sekta ya benki
Benk si mahala salama pa kuweka pesa za wafanyabiashara kutokana na hizo pesa kunyemelewa na baadhi ya maofisa wa TRA wasio waaminifu vinara wa Rushwa ambao hufunga Account kienyeji kwa njia haramu za kishetani.
 
Mabenk mengi yataenda kufirisika kutokana na wafanyabiashara wakubwa kuharalisha pesa zao nje ya Nchi pia Nchi Jiran kama kenya Uganda Zambia ambapo hakuna ujinga wa Account kufungiwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani kama Tanzania
 
Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkono
1. Hakuna kodi isiyoeleweka zaidi ya kauli au dhana ya mleta mada, kwani ameshindwa kueleza ni kodi ipi isiyo eleweka ili aweze kueleweshwa.
2. Account kuwa frozen sio jambo geni na ndio maana Maneno hayo yapo hayakuanza wakati wa Nyerere au wakati wa Awamu hii ya Tano.
Na kama kuna Nchi ina freeze account ni USA ambayo imezui fedha nyingi sana Iran na za Venezuela, just to a mentioned a few e.g.
Na kuna sheria za kimataifa ktk usafirishaji wa pesa toka nchi moja kwenda nyingine, na hata ubadilishaji wa pesa wakati mwingine hufanyika ili kudhibiti mambo kama haya ya ukwepaji kodi na uhifadhi wa fedha zilizopatikana kwa njia zisizo faa kama matendo, madawa ya kuleta n.k.
3. Hakuna kodi ya kuku wawili wanaofugwa nyumbani for matumizi ya nyumbani, lakini kuna kodi zimewekwa kwa kufanya biashara mfano unauza kuku sokoni kuna kodi zake au uhuru wa soko n.k.
Na madhumuni yake ni watu wengi kadri inavyo wezekana wachangie maendeleo na utoaji wa huduma kwa watu wote waliopo Tanzania . Na sio kodi itoke kwa baadhi tu ya wananchi au tuseme wafanyakazi na wafanya biashara
4. Hakuna mara kile mara hiki , bali ni kuimarisha mifumo yetu ambayo ilikuwa dini kwa kutokuwa na wafanyakazi wa kutosha wenye weledi na matumizi mazuri ya technology yenye kuwezesha kupata taarifa sahihi za mtu/watu / vitu/ biashara n.k .
Vitu hivyo visipo fanyika ni huyu huyu mleta mada atalalamika kukosekana kwa waalimu, vyoo, thamani za shule vitu, ma desk n.k
Hivyo uwe na mchango endelevu ili Maisha ya watoto iwe bora zaidi. Fikiria future
Ccm oyeeee.
 
Mzee

SGR ni biashara?

Ule ni mradi wa infrastructure,return yake ni miaka 1000 ijayo....usichanganye!

Sasa hivi unalaumu "HOFU".......Hii HOFU kwanini inatokea kwa Tanzania pekee yake na sio Kenya?

Sababu hakuna RULE OF LAW!

Bila rule of law biashara haifanyiki,inakua ni jungle survival tupu...anamjua Magufuli vizuri ndio anafanikiwa,sio kila mwekezaji anamjua Magufuli,wanataka RULE OF LAW,kila mtu awe na uhakika na anachowekeza!

Mavi ya Risk,sijui watu wana HOFU wenyewe,sijui blah blah blah unazotoa hapa na mfano wa SGR ni maua juu ya mavi matupu...
Nchi ikikusanya kodi na ikawekeza kwenye miradi mikubwa na ya kimkakati hiyo siyo mbaya.

Tena Nchi ikiweza kukusanya kodi kodi Rafiki kutoka kwa wananchi wake nalo hilo si jambo baya.

Hayo yote yakifanyika na Rushwa ikadhibitiwa hayo tyr ni Maendeleo.

Shida iliyoko kwa sasa ni moja au mbili:
1.Kwanza watoza Ushuru(Tra)Wamejenga dhana kwenye vichwa vyao kwamba Wafanyabiashara ni Wezi na hawasemi ukweli-This is totally wrong.

2.Tra wanatoa Elimu kwa kutimiza tu wajibu(Very shallow) as if hawataki wateja wafahamu kisha wanamvizia na kumtisha ili waweze kukusanya kodi-Hiyo inapelekea kuua Rasilimali watu ktk biashara!
Wajasiriamali ni sawa na Madaktari au Marubani-Wanahitajika ktk Nchi-Mfano Mzuri ni Matajiri wa Russia ambao wanalindwa na Serikali zao-Huku wanatishwa then wanaishia kupata pressure na stroke na kufa.

Tra iongeze Tax base-Kama hii ya Paye na nyinginezo lakini ziwe Rafiki.

Maofisa watumie Customer care kupata kodi na Wakubaki kujifunza aina ya biashara na madhila yake.

SGR ni mradi mzuri sana na return yake ni ya muda mfupi to-day 25 to 30Yrs Lakini LAZIMA mradi huu uende sambamba na Miradi mingine itakayochukuana na uwekezaji huo....especially Agro and Livestock products.
 
Eti waziri wa mambo ya nje anayepaswa kuchochea wawekezaji waje nchini akisaidiana na mabalozi wake ndokwanza anawaita wazungu wenyemitaji kuwa MABEBERU... MTU unabaki unashangaa chukj hizi zitamvuta mwekezaji kweli??
 
Rais hatoi maagizo Tu huko USA
Mswada unapita Congress unajadiliwa
Kama ni Kampuni za Venezuela au Iran
Ndo inakuja accounts freeze na mengineyo..

Sio kiholela Tu

another crazy person over here.
 
Ku freeze account ambazo Zina traces za illigal activities ni sawa kabisa . Lakini sheria ya agency notice inafunga accounts za wafanyabiashara ambao ndio walipa kodi , usiombe kabisa hii Hali ikikute ,unaweza geuka chizi.

if you doing something legal then nan akusumbue kwa kufreeze account yako? kuna watu wengine unakuta wanafanya biashara ama charity because its appealing to the public, skendo kama izi its very easy kua upande wao but people have motives behind biashara zao! nkupe mfano bill and melinda gates nan alikua anajua walikua wanakuja kutest dawa zao kwa africans? at the end of the day there are reasons only unless those reasons are very stupid but so far mpaka saaahv no one knows the reasons and we have to wait,
 
Mkuu washauri wanamwambia kile wanachojua anataka kusikia ni one man show ukitaka kulinda cheo chako lazima uingie kichwani kwake usome anachotegemea ufanye ndivyo ufanye.
Wanaishi kwa kwenda na 'KASI' yake
 
if you doing something legal then nan akusumbue kwa kufreeze account yako? kuna watu wengine unakuta wanafanya biashara ama charity because its appealing to the public, skendo kama izi its very easy kua upande wao but people have motives behind biashara zao! nkupe mfano bill and melinda gates nan alikua anajua walikua wanakuja kutest dawa zao kwa africans? at the end of the day there are reasons only unless those reasons are very stupid but so far mpaka saaahv no one knows the reasons and we have to wait,
Hapa ndipo tulipofikia !!
Kwamba mtu anafanyiwa figisu ,then anapewa na tuhuma hapo hapo za kuwa ni fisadi na jamii inakubali
Kwenye hili la kufungwa kwa akaunti za watu Kuna uonevu,
 
Hapa ndipo tulipofikia !!
Kwamba mtu anafanyiwa figisu ,then anapewa na tuhuma hapo hapo za kuwa ni fisadi na jamii inakubali
Kwenye hili la kufungwa kwa akaunti za watu Kuna uonevu,

Umeskiliza upande wa pili wa serikali sababu walizotoa mpaka ukasema wameonewa?
 
Back
Top Bottom