Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi flani,Wengi hutumia jina la magufuli kuharalisha uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo pia
Mzee
SGR ni biashara?
Ule ni mradi wa infrastructure,return yake ni miaka 1000 ijayo....usichanganye!
Sasa hivi unalaumu "HOFU".......Hii HOFU kwanini inatokea kwa Tanzania pekee yake na sio Kenya?
Sababu hakuna RULE OF LAW!
Bila rule of law biashara haifanyiki,inakua ni jungle survival tupu...anamjua Magufuli vizuri ndio anafanikiwa,sio kila mwekezaji anamjua Magufuli,wanataka RULE OF LAW,kila mtu awe na uhakika na anachowekeza!
Mavi ya Risk,sijui watu wana HOFU wenyewe,sijui blah blah blah unazotoa hapa na mfano wa SGR ni maua juu ya mavi matupu...
Bado mnne ili tumuongezee mitano ijayoMaswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
HahaahahahahahahahaDINGI HUNA MENO AU NDO UMEANDIKA NINI HIKI
Mkuu mbona una hoja nzuri tena kuna point sana umeandika, ila sasa angalia lugha za matusi zinaweza hata kushusha thamani ya mchango wakoAcha upumbavu wewe.....
Kiwanda changu cha kupasua kokoto Kunduchi kinasaidia nini wakazi wa Mabogini Moshi?
Zaidi ya kodi nazotoa TRA,hakuna kingine!
Wewe unadhani unaongea tu eti "kinasaidia wananchi" ndio sababu,hata ajira nazotoa ni "kusaidia" wananchi..
Hakuna biashara isiyowasaidia wananchi,labda kichwanda cha kutengeza heroine tu.....
Hoja yako ya wananchi ni dead on the arrival
Fundamental issue hapa ni kwamba HAKUNA UTAWALA WA SHERIA-RULE OF LAW....mahakama zinafata "maelekezo" hazipo independent
Mimi muwekezaji ikitokea Waziri yeyote wa utawala wa Magufuli ananichukia,basi nchi lazima nihamishwe na biashara yangu itafilisiwa na sina mahakama ya kwenda kudai haki yangu
Hatuwezi wekeza kwa "huruma" ya utawala,tunataka kuwekeza kwa mujibu wa "sheria" na hakuna mtu anaweza nifilisi atakavyo yeye na ninaweza enda mahakamani nikadai haki yangu na nikaipata kwa mujibu wa sheria
Huu unafiki Dangote ulimshinda akaondoka kaacha magofu ya viwanda Mtwara huko.....Hakuna maana
Sijaelewa unaongea mavi gani haya
Sikuelewi kabisa
Toa hoja ueleweke.....
Topic mezani ni kwamba ,UTAWALA huu wa huyu mungu mtu,hakuna anaetaka kuja kuwekeza hapa,infact wanaondoka....
Na sababu ni hizo tulizotoa hapo....Full stop.
Mkuu kuongeza vyanzo vya mapato kwa kuweka kodi kwa bidhaa nyingi inasaidia maendeleo.Kuna mtu anaona Sawa kuanza kuweka Kodi Kwa wafuga kuku
Hajui kinachofata ni kuku kupanda bei
Wakati wanahaha kuimarisha biashara zao wanaitwa mashetani lakini yakitokea majanga ya kitaifa wanaitwa kuombwa fedha zao kwa vitisho!.Tatizo la Viongozi aina ya Nyerere ni kuamini kuwa maono yao ni sahihi...
Ndo tatizoSasa wakitaka pesa wanachungulia bank ni nani ana pesa nyingi huko wanaenda kuifunga Account anabambikiwa kodi kubwa ili wapate kisingizio cha kuipora pesa yake
Huo ndio ushahidi? Nenda mahakamani basi kashitaki kama umechukia. Watanzania wapo na rais wao. Mtakonda tu mwaka huu.Ushahidi gani unataka wakati yeye mwenyewe alikwishasema yeye ni JIWE na ukimshauri hatekelezi
Au Yusuf Manji hajui nini kilimtokea? Walipishana kauli wakati wa Kikwette, kauli tu lakini alichomfanyizia wote tunakijua. Yusuf Manji kafilisiwa na kafunga biashara zake zote. Ila waathirika ni wafanyakazi wake zaidi ya 3,000 na wakulima wa Mbezi na ufuta...
Naamini mkulu atauona huu ushauri,japo hata wasaidizi wake.Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki..
Mkuu kupongeza vyanzo vya mapato kwa kuweka kodi kwa bidhaa nyingi inasaidia maendeleo.
Kwa miaka mingi wananchi wengi wamejengewa barabara, wameoewa huduma za kijamii kwa kupitia kodi za wafanyakazi ambao ni wachache.
Tukitaka kuondoka kwenye utegemezi toka nje lazima watu wote walipe kodi.
Vyanzo vikiwa vingi inasaidia kodi zisiwe kubwa kwa baadhi ya bidhaa chache tu. Zamani ilikuwa kodi inaongezeka kwenye pombe na sigara tu kila bajeti mpya.
SGR profit inarudi baada ya miaka 1000 hutaki andamana
Waulize wakupe jibu
Mengine ni nonsense tupu
Uwekezaji hauji kwenye nchi ambayo sheria ni jungle na inaamuliwa na mamalia mmoja!
No dollars will come this way,NEVER!
Matatizo ya uchumi huu
Ni government interference
Banks zinaingiliwa..
Accounts freeze.
Tra ndo judge na prosecutor..
Watu wanaficha hela majumbani now.
Tunapoelekea kubaya
whats wrong with that! izi ni very normal things for serikali yoyote duniani, kuna nchi inaizidi USA kwa kufreeze account na traces za money laundering?
Dunia ya awamu ya kwanza ilikuwa na nchi zisizofungamana na upande wowote maana yake ni kwamba kulikuwa na pande mbili zenye nguvu zenye kutaka kuungwa mkono na nchi nyingi duniani.Halafu huwezi kumlaumu saana Nyerere kwenye masuala ya uchumi Kwasababu kipindi hicho hakukuwa na any proven working economic system.
Dunia ilikuwa kwenye trial and errors. Kuna watu waliamini Ubepari, wengine Ujamaa, wengine communism.
Hakuna aliyekuwa na uthibitisho kwamba system fulani ni better na ita work out.
Mkuu unaweza ukawa unaandika points za kufikirisha katika majadiliano, lakini lugha inaweza ikapunguza utamu au ladha ya uwakilishaji au mchango wako. Kama unavyofahamu tupo wana JF wa rika na muono mbali mbali.Mzee
SGR ni biashara?
Ule ni mradi wa infrastructure,return yake ni miaka 1000 ijayo....usichanganye!
Sasa hivi unalaumu "HOFU".......Hii HOFU kwanini inatokea kwa Tanzania pekee yake na sio Kenya?
Sababu hakuna RULE OF LAW!
Bila rule of law biashara haifanyiki,inakua ni jungle survival tupu...anamjua Magufuli vizuri ndio anafanikiwa,sio kila mwekezaji anamjua Magufuli,wanataka RULE OF LAW,kila mtu awe na uhakika na anachowekeza!
Mavi ya Risk,sijui watu wana HOFU wenyewe,sijui blah blah blah unazotoa hapa na mfano wa SGR ni maua juu ya mavi matupu...
Upo uonevu unyanyasaji mwingi hufanywa na watumishi waliopewa dhamana kwa kivuli cha magufuli wakati yeye mwenyewe hajui chochoteNaweza kukubaliana na wewe kwa kiasi flani,
Tena unakuta wala hata hana habari lakini kuna watu tu Wana take advantage,
Mfano mzuri kwa hivi karibuni ni kule Arusha wale askari waliokamatwa kwa kudai rushwa toka kwa mfanyabiashara wa madini , sasa mfano wangefanikiwa si ajabu huyo mfanyabiashara kuamini kuwa ni kweli walitumwa kumbe wamejiongeza wenyewe tu.
Tiba ni TRA kuacha kuwabambikia kodi kufunga Account kufunga biashara za watuNtarudi, maana Sahiv idadi ya wanalalamika hali ya maisha kuwa ngumu ni wengi na imeongezeka mara dufu kuliko mwaka juzi sasa sijui mwisho wa haya yote. Ni nini?
Kwenye field Mambo hayako hivyo. Naongea Kama muhanga.Nafikiri inayosema ni chuki na sio akili ya mfanyabiasha. Ni wakati wa Magufuli tuu unaweza kuanzisha kiwanda bila EIA report , utaitafuta wakati unaendelea na ujenzi.
Leseni unaipata chini ya siku 7, leseni yeyote ile. Kama kuhakikisha mfanyabiashara analipa kodi ndio serikali kutojua biashara basi hiyo Serikali haifai kuwepo madarakani.
Toa mfano halisi ili kupunguza upotoshaji.
Mimi nafanya biashara kwa hiyo nazungumzia kwa experience niliyo nayo na sio kitu cha kufikirika.