Kweli kuna mambo TRA au serikali kiujumla wanakosea.Matatizo ya uchumi huu
Ni government interference
Banks zinaingiliwa..
Accounts freeze.
Tra ndo judge na prosecutor..
Watu wanaficha hela majumbani now.
Tunapoelekea kubaya
Baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa huko TRA wachunguzwe mali zao majumba yao kuangalia kama vinaendana na vipato vyao halisiKweli kuna mambo TRA au serikali kiujumla wanakosea.
Kuna mtu wangu wa karibu sana amefungiwa account , 'Agency notice" kumbe ni sheria ya mwaka 2015!Hadi banks sio safe tena
Account freezing ni anytime wakiku target
Ku freeze account ambazo Zina traces za illigal activities ni sawa kabisa . Lakini sheria ya agency notice inafunga accounts za wafanyabiashara ambao ndio walipa kodi , usiombe kabisa hii Hali ikikute ,unaweza geuka chizi.whats wrong with that! izi ni very normal things for serikali yoyote duniani, kuna nchi inaizidi USA kwa kufreeze account na traces za money laundering?
Hiyo haitoshiTiba ni TRA kuacha kuwabambikia kodi kufunga Account kufunga biashara za watu
Thank youMaswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' kinachofata watu hukimbia na pesa zao.
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekeza nchi za nje na nchi jirani, mwisho wa siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Hivi kwani kishaanza kupokea ushauri ?Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' kinachofata watu hukimbia na pesa zao.
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekeza nchi za nje na nchi jirani, mwisho wa siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Benk si mahala salama pa kuweka pesa za wafanyabiashara kutokana na hizo pesa kunyemelewa na baadhi ya maofisa wa TRA wasio waaminifu vinara wa Rushwa ambao hufunga Account kienyeji kwa njia haramu za kishetani.Kuna mtu wangu wa karibu sana amefungiwa account , 'Agency notice" kumbe ni sheria ya mwaka 2015!
Sikuwahi kudhani Kama swala hili lingeweza kumtokea mtu wa kawaida kabisa, honestly linaenda kuuwa kabisa sekta ya benki
Ccm oyeeee.Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkono
1. Hakuna kodi isiyoeleweka zaidi ya kauli au dhana ya mleta mada, kwani ameshindwa kueleza ni kodi ipi isiyo eleweka ili aweze kueleweshwa.
2. Account kuwa frozen sio jambo geni na ndio maana Maneno hayo yapo hayakuanza wakati wa Nyerere au wakati wa Awamu hii ya Tano.
Na kama kuna Nchi ina freeze account ni USA ambayo imezui fedha nyingi sana Iran na za Venezuela, just to a mentioned a few e.g.
Na kuna sheria za kimataifa ktk usafirishaji wa pesa toka nchi moja kwenda nyingine, na hata ubadilishaji wa pesa wakati mwingine hufanyika ili kudhibiti mambo kama haya ya ukwepaji kodi na uhifadhi wa fedha zilizopatikana kwa njia zisizo faa kama matendo, madawa ya kuleta n.k.
3. Hakuna kodi ya kuku wawili wanaofugwa nyumbani for matumizi ya nyumbani, lakini kuna kodi zimewekwa kwa kufanya biashara mfano unauza kuku sokoni kuna kodi zake au uhuru wa soko n.k.
Na madhumuni yake ni watu wengi kadri inavyo wezekana wachangie maendeleo na utoaji wa huduma kwa watu wote waliopo Tanzania . Na sio kodi itoke kwa baadhi tu ya wananchi au tuseme wafanyakazi na wafanya biashara
4. Hakuna mara kile mara hiki , bali ni kuimarisha mifumo yetu ambayo ilikuwa dini kwa kutokuwa na wafanyakazi wa kutosha wenye weledi na matumizi mazuri ya technology yenye kuwezesha kupata taarifa sahihi za mtu/watu / vitu/ biashara n.k .
Vitu hivyo visipo fanyika ni huyu huyu mleta mada atalalamika kukosekana kwa waalimu, vyoo, thamani za shule vitu, ma desk n.k
Hivyo uwe na mchango endelevu ili Maisha ya watoto iwe bora zaidi. Fikiria future
Nchi ikikusanya kodi na ikawekeza kwenye miradi mikubwa na ya kimkakati hiyo siyo mbaya.Mzee
SGR ni biashara?
Ule ni mradi wa infrastructure,return yake ni miaka 1000 ijayo....usichanganye!
Sasa hivi unalaumu "HOFU".......Hii HOFU kwanini inatokea kwa Tanzania pekee yake na sio Kenya?
Sababu hakuna RULE OF LAW!
Bila rule of law biashara haifanyiki,inakua ni jungle survival tupu...anamjua Magufuli vizuri ndio anafanikiwa,sio kila mwekezaji anamjua Magufuli,wanataka RULE OF LAW,kila mtu awe na uhakika na anachowekeza!
Mavi ya Risk,sijui watu wana HOFU wenyewe,sijui blah blah blah unazotoa hapa na mfano wa SGR ni maua juu ya mavi matupu...
Rais hatoi maagizo Tu huko USA
Mswada unapita Congress unajadiliwa
Kama ni Kampuni za Venezuela au Iran
Ndo inakuja accounts freeze na mengineyo..
Sio kiholela Tu
Ku freeze account ambazo Zina traces za illigal activities ni sawa kabisa . Lakini sheria ya agency notice inafunga accounts za wafanyabiashara ambao ndio walipa kodi , usiombe kabisa hii Hali ikikute ,unaweza geuka chizi.
Wanaishi kwa kwenda na 'KASI' yakeMkuu washauri wanamwambia kile wanachojua anataka kusikia ni one man show ukitaka kulinda cheo chako lazima uingie kichwani kwake usome anachotegemea ufanye ndivyo ufanye.
Hapa ndipo tulipofikia !!if you doing something legal then nan akusumbue kwa kufreeze account yako? kuna watu wengine unakuta wanafanya biashara ama charity because its appealing to the public, skendo kama izi its very easy kua upande wao but people have motives behind biashara zao! nkupe mfano bill and melinda gates nan alikua anajua walikua wanakuja kutest dawa zao kwa africans? at the end of the day there are reasons only unless those reasons are very stupid but so far mpaka saaahv no one knows the reasons and we have to wait,
Hapa ndipo tulipofikia !!
Kwamba mtu anafanyiwa figisu ,then anapewa na tuhuma hapo hapo za kuwa ni fisadi na jamii inakubali
Kwenye hili la kufungwa kwa akaunti za watu Kuna uonevu,