Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Utawala wako Rais Magufuli Yangu 2015 Hadi Sasa unapofikia miwshoni kabisa, Tulioyashuhudia sio tu Ni maajabu, lakini ni Maangamizi ya Taifa letu kuanzia misingi yake mpaka kesho yake.
Kwa uchache tujikumbushe maajabu ambayo yameshatokea na hatajawai kuyashuhudia.
1. Watu Takribani 400 wamepotea kusiko julikana kwenye Mkoa wa Pwani na hakuna hata sisimizi aliekamatwa mpaka leo, na mtokeo yake, Azory Gwanda, akatekwa na vyombo vyako.
2. Watu so chini ya 45 waliokogwa kwenye fukwe za Bahati, Mto na maeneo kadhaa wakiwa wamefungwa kwneye viroba na mpaka leo hakuna hata sisimizi aliekamatwa kuhusika mbali ya watu hao kuitwa na serikali yako kuwa Ni Wahamiaji Haramu.
3. Watu kwenye Mkoa wa Kwanza na Dar wa salaam, umewabomolea Nyumba zao na ukawanyima fidia kwa mujibu wa Sheria za nchi na ukasema hutawapa hata Senti mmoja. Na hukijenga barabara maeneo hayo ulioyabomoa pia.
4. Hujapandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi, ambalo ni takwa la kisheria kwa miaka yote mitano hii ya utawala wako.
5. Tundu Lisu amepigwa risasi 16 ndani ya Nyumba za serikali, na mpaka leo hakuna hata sisimizi aliekamatwa kuhusika na jaribio Hilo la mauwaji.
6. Kituo Cha TV kilivamiwa na Askari chini ya Mkuu wa Mkoa ambae wewe ndie uliemteua, Ana alipobainika, ukamfukuza kazi yule aliembainisha huyo mwovu wako.
7. Uliwapora wakulima wa Korosho mazao yao yote kwa kutumika Jeshi, na hukuwa fedha zao zote, pamoja na kuchukua fedha za mfuko wa Korosho zote kwa mabavu na kuliua zao la Korosho.
8. Ulizuia mikutano ya hadhara na mikutano ya ndani, Jambo ambalo Ni takwa la kikatiba na kisheria. Yaani ulivunja katiba ya nchi ambayo uliapa kuilinda.
9. Umetunga Sheria kandamizi kwa wananchi, Sheria ya Makosa ya mtandaoni, Takwimu, vyama vya siasa, kiasi kwamba zi apingana na katiba ya nchi, kinyume na misingi ya ukuu wa katiba.
10. Uliwafukuza wanafunzi wa Elimu ya Juu wapatao 7000, chuo kikuu Cha Dodoma, usiku waanane, kwa kutumika Jeshi la Polisi.
11. Umekuwa ukiwadhalilisha wanawake nchi hii, kila uchwao mpaka wakati huu wa kampeni.
Mengine Ni mengi hatuwezi kuyamaliza...
Alafu leo unataka tukupe mitano tuone Tena maajabu, Yepi??? Unataka tuonea mauwaji ya halaiki? Kwamba mauwaji YALIOTOKEA mpaka Sasa huoni Ni Ajabu?
Hapana mzee, Nenda tu, tumechoka.