Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Ushamba mkuu wangu ni mzigo mzito.Mtu unakuwa Mwalimu wa chuo kikuu au unasoma hadi phD level lakini bado ni mshamba wa vitu Kama video call?kama wangejua watanzania wengi tunafanya kazi na taasisi za kimataifa na kwamba video call kwa kutumia ama Skype,Microsoft or Blue jeans ni sehemu ya maisha yetu wala wasingedhubutu kuweka ushamba wao hadharaniKuna vitu wakati wa Kikwete na waliomtangulia vilikua vikifanyika hata hatujui. Maana vya nini tujue.
Sasa propaganda za uongozi huu mpk zinakera yaani. Inafikia mtu kusoma habari kama hii unakasirika.
Jana taarifa habari wazir wa mambo ya nje anaongea na wa Norway kwenye video call. Baasi tunaoneshwa mpk picha jinsi walivokua wakiongea.
Too much propaganda for nothing.
Justt do your ficving business behind the scene and we as citizen we will just feel the the positive impact of what we have sent you to do. Showboating showboating mpaka lini