Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nakuachia wewe mwenye vipimo.Washamba kumbe tupo wengi Ila ushamba wa viongozi wa awamu ya tano upo above average
Kihindi na kiswahiliLugha iliyotumika?
Wewe mburula kweli, yaani rais ashindwe kwenda nje ya nchi kwa sababu ya kutojua kiingereza?Ndiyo inayomfanya jiwe ajifungie ndani na asithubutu kutoka nje ya Tz kwa kisingizio eti anabana matumizi. Watanzania tufunguke.
Sifa hizi sasa..You got to be serious! Do you really mean to support the tyrany? We need competent leaders for which case jiwe would barely qualify for a village position as even village leaders who struggle to understand English will poorly serve their subjects, right? Acheni ushamba wa kushabikia chama chakavu.
Viongozi wengi wasio kuwa diplomatic na wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja na kujieleza kuwa wanabaki nyumbani na hawapendi sana kwenda kwenye mikutano nje na mifano hai ipo hapa hapa lakiki itasingiziwa oh tunabana matumizi...oh..yote hayo ni incompetence za viongozi wetu, tuwe makini wakati wa uchaguzi.Wewe mburula kweli, yaani rais ashindwe kwenda nje ya nchi kwa sababu ya kutojua kiingereza?
"Uwezo mdogo wa kujieleza na kujenga hoja"Viongozi wengi wasio kuwa diplomatic na wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja na kujieleza kuwa wanabaki nyumbani na hawapendi sana kwenda kwenye mikutano nje na mifano hai ipo hapa hapa lakiki itasingiziwa oh tunabana matumizi...oh..yote hayo ni incompetence za viongozi wetu, tuwe makini wakati wa uchaguzi.
Kuna vitu wakati wa Kikwete na waliomtangulia vilikua vikifanyika hata hatujui. Maana vya nini tujue.
Sasa propaganda za uongozi huu mpk zinakera yaani. Inafikia mtu kusoma habari kama hii unakasirika.
Jana taarifa habari wazir wa mambo ya nje anaongea na wa Norway kwenye video call. Baasi tunaoneshwa mpk picha jinsi walivokua wakiongea.
Too much propaganda for nothing.
Justt do your ficving business behind the scene and we as citizen we will just feel the the positive impact of what we have sent you to do. Showboating showboating mpaka lini
Ushamba mkuu wangu ni mzigo mzito.Mtu unakuwa Mwalimu wa chuo kikuu au unasoma hadi phD level lakini bado ni mshamba wa vitu Kama video call?kama wangejua watanzania wengi tunafanya kazi na taasisi za kimataifa na kwamba video call kwa kutumia ama Skype,Microsoft or Blue jeans ni sehemu ya maisha yetu wala wasingedhubutu kuweka ushamba wao hadharani
Angalia historia ya JPM kabla hajawa rais.Viongozi wengi wasio kuwa diplomatic na wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja na kujieleza kuwa wanabaki nyumbani na hawapendi sana kwenda kwenye mikutano nje na mifano hai ipo hapa hapa lakiki itasingiziwa oh tunabana matumizi...oh..yote hayo ni incompetence za viongozi wetu, tuwe makini wakati wa uchaguzi.
Hamna aisee. Wanajionesha tuwaone kua wanapendwa na ma beberuLakini si ndio uwazi huo ambao kila mtu anasema unatakiwa?
Hamna aisee. Wanajionesha tuwaone kua wanapendwa na ma beberu
Mbona kuna vitu vya maaana km bunge live na vingine hawatuoneshi km ni wawazi