Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

Rais wetu anapendwa sana na wananchi hana maadui
 
Maadui wa huyu bwana ni wapenda demokrasia. Kama akitaka kupunguza maadui ni lazima aitendee haki demokrasia bhaaasi. Kama akiendelea kusigina demokrasia, akina Zitto lazima wamdhibiti.
 
Kwanini useme ulinzi uliopo sio imara!!!!!.

Umehakikishaje, unafahamu kuwa kikosi kinachomlinda mh.kina mafunzo ya aina gani mpaka kuaminiwa kufanya hiyo kazi?????

Kuwa JWTZ hakutoshi kuwa mlinzi wa raisi.
 
Maadui wakubwa wa Rais ni wapenda demokrasia na c vinginevyo ....nchi hii siamini kama tuna walinzi wa Rais ...waliopo ni walinzi Wa kuuminya upinza tu ...
 
Mleta mada acha kutudanganya. Ulinzi kwa rais wetu uko imara. Sisi tunaamini hakuna mtu yoyote tanzania yetu anaelindwa kwa umakini kama rais wetu na familia yake. Vile vile suala la kuwa na maadui ilo lipo wazi karibu kila mtu ana maadui.... na suala la kifo ikifika zamu yako,hakikwepeki aidha uwe na ulinzi ama la kitakuchukua tu. Hivyo tusijisahaulishe au kusema kwakuwa tuna maadui wengi basi kifo kiko mlangoni.... NO NO NOOOO haiko ivo. We piga kazi mkuu.
 
Mzee wa kiraracha kamsifia , wewe unadai ana maadui. Kivipi? eleza kwa ufasaha maana ya maadaui ya JPM ni nini.
 
Kafanye utafiti zaidi, duniani mtenda haki ana maadui wengi zaidi kuliko muovu
Hakuhitaji utafiti wowote kujua uadui hutokana na dhuluma na uonevu lakini si kwa kutenda haki
 
Kwa nchi ambayo Shetani amejenga himaya yake, anapotokea mtu wa mungu hugeuka kuwa adui. Naunga mkono hoja.
Mawazo yako hayako mbali na ya Joseph Kony kwa jinsi anavyoshindwa kumtofautisha mungu na shetani.LRA inaamini katika amri 10 lakini wanaua,wanaiba na kubaka halafu wanasema wanafanya kazi ya mungu.Muda mwengine tuache masihara tunapotaka kumtaja mungu.
 
Maoni yako yameimarisha imani yangu kuwa rais anahitaji ulinzi zaidi.
 
chaguo la mungu nalo linahitaji ulinzi?
 
Ulinzi wa JPM inabidi uimarishwe zaidi, pale Furahisha juzi ni dhahiri walinzi walizidiwa na walipoteana, alivyofika uwanja wa ndege jana walinzi pia walionekana kupoteana, alivyoenda kujichanganya na waimbaji ilibidi yule mdada mlinzi wa mama Janet haraka haraka achukue nafasi huku mlinzi wa Rais akisukumwa nyuma, pia wakati akisalimiana na viongozi mlinzi hakuwa makini hadi mkuu wa mkoa Paul Makonda akachukua jukumu la kumwelekeza.
 
Wadau nionavyo, ni muhimu sasa ulinzi wa Mheshimiwa Rais uimarishwe maana adui sio tu anayetajwa tajwa saivi.

Kuna wengi kwenye sekta mbali mbali ambao wanaliona tonge lao likiondoka mdomoni wana ushawishi na uwezo mkubwa .

Safari za rais nje ya nchi ziendeleee kudhibitiwa wasije kudungua ndege na kutufarakanisha na jirani zetu bure.

Ndani ya nchi ulinzi wa Mheshimiwa Rais uimarishwe. Kiambatanisho kinaonyesha jinsi gani adui sio wa kubezwa
 

Attachments

Makomandoo wa kuvunja matofali wapo, sasa unahofia nini?

Mkulu yuko safe, lakini waliompa kura kule KIBITI hao si watanzania na hawastahili kupata haki ya kuishi.
 
Makomandoo wa kuvunja matofali wapo, sasa unahofia nini?

Mkulu yuko safe, lakini waliompa kura kule KIBITI hao si watanzania na hawastahili kupata haki ya kuishi.
usichanganye mada ila ukisoma nilichoambatanisha nasema vita hivi vinweza kuangamiza taifa na wala sina maana tusikomeshe mauaji Kibiti la hasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…