Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanye utafiti zaidi, duniani mtenda haki ana maadui wengi zaidi kuliko muovuMtenda haki hawezi kuwa na maadui kamwe hivyo sioni wasiwasi huo unatokea wapi.
Umeongea sana mkubwaKwa nchi ambayo Shetani amejenga himaya yake, anapotokea mtu wa mungu hugeuka kuwa adui. Naunga mkono hoja.
Hakuhitaji utafiti wowote kujua uadui hutokana na dhuluma na uonevu lakini si kwa kutenda hakiKafanye utafiti zaidi, duniani mtenda haki ana maadui wengi zaidi kuliko muovu
Mawazo yako hayako mbali na ya Joseph Kony kwa jinsi anavyoshindwa kumtofautisha mungu na shetani.LRA inaamini katika amri 10 lakini wanaua,wanaiba na kubaka halafu wanasema wanafanya kazi ya mungu.Muda mwengine tuache masihara tunapotaka kumtaja mungu.Kwa nchi ambayo Shetani amejenga himaya yake, anapotokea mtu wa mungu hugeuka kuwa adui. Naunga mkono hoja.
Maoni yako yameimarisha imani yangu kuwa rais anahitaji ulinzi zaidi.Mawazo yako hayako mbali na ya Joseph Kony kwa jinsi anavyoshindwa kumtofautisha mungu na shetani.LRA inaamini katika amri 10 lakini wanaua,wanaiba na kubaka halafu wanasema wanafanya kazi ya mungu.Muda mwengine tuache masihara tunapotaka kumtaja mungu.
Watanzania wote wanahitaji ulinziMaoni yako yameimarisha imani yangu kuwa rais anahitaji ulinzi zaidi.
chaguo la mungu nalo linahitaji ulinzi?Ndugu zangu wana Jf Rais wetu kwa sasa ana maadui wengi sana kiasi kwamba kunatakiwa juhudi za ziada kuhakikisha kuwa anaendelea kuwahudumia wananchi wa Tanzania.
Katika hili kunahitajika kuimarisha BRIGEDI YA ULINZI WA RAIS ili kuhakikisha Rais wetu anaendelea kuwa salama. Mimi ni askari msitaafu niliyehudumu Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika kikosi cha Jeshi Lugalo ingawa bado nahudumu Serikali hii katika sekta nyingine.
Ninapenda kutoa wito kwa Brigedi ya ulinzi wa Rais kuimarisha ulinzi wa Rais Magufuli ili kukabiliana na maadui wa Rais wanaoongezeka siku hadi siku. Nikiangalia walinzi wa Rais ninaowaona akiambatana nao naona kuna haja ya kuangalia vizuri kwani kwa maoni yangu ule ulinzi sio imara sana. Siwezi nikasema wasiwasi wangu uko wapi kwa sababu za kiusalama, lakini nina uhakika watu wa ulinzi na usalama watanielewa.
Kuna walinzi wa ''FEATURES'' fulani ningetegemea kuwaona katika ulinzi wa Rais ninaowaona akiwa nao lakini siwaoni. Vile vile ningependekeza ulinzi wa Rais uwe na Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wengi (waliovua makwanda) si kwasababu mimi nimetoka huko ila kiukweli hawa hawajaathiriwa sana na rushwa na hawawezi kurubuniwa/kushawishiwa kirahisi ukilinganisha na Polisi na Usalama wa Taifa ambao wengi wao wamejikita sana kwenye siasa.
Hata hivyo bado natoa wito kwa Mkuu wa Majeshi (CDF) GENERALI DAVIS MWAMNYANGE na makamanda wengine wa JWTZ kuwa Rais anahitaji ulinzi kwa nguvu zote.
Najua wengi mtaona hoja yangu haina mashiko lakini mimi kama mlinzi wa nchi hii ingawa nimestaafu lazima nitoa tahadhali zangu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu.
Amina.
Ulinzi wa JPM inabidi uimarishwe zaidi, pale Furahisha juzi ni dhahiri walinzi walizidiwa na walipoteana, alivyofika uwanja wa ndege jana walinzi pia walionekana kupoteana, alivyoenda kujichanganya na waimbaji ilibidi yule mdada mlinzi wa mama Janet haraka haraka achukue nafasi huku mlinzi wa Rais akisukumwa nyuma, pia wakati akisalimiana na viongozi mlinzi hakuwa makini hadi mkuu wa mkoa Paul Makonda akachukua jukumu la kumwelekeza.Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara.
Hatua anazozichukua za kupambana na kila aina ya ufisadi dhidi ya fedha za umma na rasilimali za taifa zinaweletea maumivu baadhi ya watu,zinawafanya wapoteze ulaji waliouzowea,wanachukizwa na wanaweza kufanya lolote.
Tunaomba rais aimarishiwe ulinzi mzito.
usichanganye mada ila ukisoma nilichoambatanisha nasema vita hivi vinweza kuangamiza taifa na wala sina maana tusikomeshe mauaji Kibiti la hashaMakomandoo wa kuvunja matofali wapo, sasa unahofia nini?
Mkulu yuko safe, lakini waliompa kura kule KIBITI hao si watanzania na hawastahili kupata haki ya kuishi.