Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

Kama anatafutwa hivyo ajiuzulu tu, asituharibie hela, hatuna uwezo wa kumlinda zaidi ya hapo hasa ukimwangalia rais mwenyewe sio productive ni mtafuta kick tu, huku akiliingiza taifa hasara.
i wish nikutukane tusi la nguoni, hata hivyo nshakutukana kabla sija comment. midomo yenu hiwe na break kutumia jina bandia humu na akaunti zaidi ya moja usijione umwamba. uhuru wa kusema unamipaka
 
Huo alionao nje ya unaowaona ni mkubwa kuliko hao uanowaona
 

Siwezi kutetea makosa. Bahati mbaya sijasikia upande wa mtuhumiwa una-utetezi gani so siwezi kuhukumu moja kwa moja.
Lakini hata lugha uliyotumia inaonesha umesha-hukumu.
Sijui kama wewe ulifanikiwa kusikia au kusoma utetezi wake na ukaona kuwa anadanganya.
 
Nani kafa na kukupa uhakimu?
 
ni muhim na wajibu kumlinda mtukufu rais mahala popote na alindwe kila kona hata mwituni
 
Dah.....JPM kipenzi cha wanyonge na wapenda haki.....mwiba mkali kwa wapiga dlli[emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Cku yako ikifika ata upewe ulinzi wa namna gani utaondoka tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya uchumi ni ngumu sana ila inawezekana
 
!
!
Ni kwamba sasa awe anatembea ndani ya kifaru. Juu pawe na chopa au zile ndege ambazo tulizionaga uwanja wa taifa halafu wakashuka watu na maparachute, asisindikizwe na defenda tena Bali yale maiveco yaliyokuwa yanavutwa siku ile na wale jamaa na mwisho walinzi wawe wale wa kuvunja matofali kwa vichwa na kukunja nondo kwa mikono. Kingine nini nimesahau?
 
Idara za usalama wa rais na usalama wa taifa watanzania tulio wengi tunaomba ulinzi wa Mh Rais wetu uongezwe mara mia kutokana na kwamba vita anayopigana sasa sio vita ya kawaida inaonekana kwa asilimia mia amewashika pabaya mafisadi papa na uwenda wengi kila wakilala wanaona makaburi yao ama magereza makubwa
Kiukweli hakuna wakuchomoka kwa mara ya kwanza tunaona amiri jeshi mkuu wa majeshi ya taifa hili aki act like fidmashal kiukweli haijawahi tokea matajiri wanajamba ovyo na wengine wanatundikiwa drip majumbani mwao wakiwaza yale wameyafanya wanahisi pingu zipo mikononi.
Kiukweli tunaitaji kuona ulinzi wa rais wetu ukiongezwa mara dufu nakufanya sisi watanzania wenye mapenzi ya kweli kusikia amani....

Rais Magufuli kweli ni wa kweli na hata taifa sasa limesimama kwa hakika...

Tunataka ulinzi uongezwe mara dufu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…