The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
hata wewe hapo unaona aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuki kwa nguruwe siyo kwa binadamu mchungu(kila nafsi itaonja mauti)Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara...
Viongozi huongezewa ulinzi endapo tuHabari JF
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi
Kuna kipindi watu wenye nia ovu na rais wetu huuliza maswali kwanini Magufuli anaulinzi mkali kiasi hiko kila sehemu anapoonekana ndani ya nchi huru na yenye amani?....
Na Mungu awe mlinzi namba moja katika yoteHabari JF
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi...
Aliyeota RAIS atakufa ni nani?Mtetezi wa wanyonge wa kuzimu?
Hivi unatufanya sisi vichaa?
Huyu Urais aliupata kwa bahati mbaya, hana kichwa cha kuongoza watu.
Mafanikio gani zaidi ya kuharibu nchi. Sasa hivi ukabila umejaa kila Kona baada yeye kuuanzisha kwa kujananisha wasukuma serikalini. Amesababisha hata private schools Kama siyo mkabila mwenzao hupati kazi. Nchi kwa sasa unakwenda Kama gari bovu.Habari JF
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi...
Daaa atakuwa aliota kweli aisee 😁😁Aliyeota RAIS atakufa ni nani?