Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

ndugu umepatwa na nini?? mbona post mfululizo hivyo tena kwa haraka??
 
Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara...
mkuki kwa nguruwe siyo kwa binadamu mchungu(kila nafsi itaonja mauti)
 
ongezeni waganga wakienyeji wengi maana ndio jadi yenu ila mungu atawapatia pigo moja tu
 
Habari JF

Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi

Kuna kipindi watu wenye nia ovu na rais wetu huuliza maswali kwanini Magufuli anaulinzi mkali kiasi hiko kila sehemu anapoonekana ndani ya nchi huru na yenye amani?
Watu hao huenda mbali zaidi kwa kukejeli kama Rais ni kipenzi cha Watanzania kwa nini ajazwe rundo la wanausalama Kumlinda?

Sasa hao wote wanaouliza maswali kuhusu ulinzi wa Magufuli watakuwa wamepata majawabu kwamba Rais wetu anawindwa sana na watu wabaya, tena wanamawazo ya kummaliza kabisa

Kiulinzi waovu hao wameshindwa, wameamua kumuombea Rais wetu dua mbaya za ugonjwa na kifo,, katika hili wameshindwa

Rai yangu ni kuomba idara ya ulinzi wa rais iongeze nguvu kuhakikisha rais anakuwa salama dhidi ya watu hao waovu,, ulinzi wa Magufuli hautoshi kulingana na maadui waliotanda kila kona ya dunia hii na yote hii ni wivu dhidi ya rais kutokana na mafanikio yake.

Rais Magufuli aongezewe ulinzi
 
Kwanini aongezewe na yeye mwenyewe alishatuambia Tumtangulize Mungu sababu ndio mlinzi wa kweli hata Corona iliondoka kwa maombi ya siku 3!
 
Habari JF

Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi

Kuna kipindi watu wenye nia ovu na rais wetu huuliza maswali kwanini Magufuli anaulinzi mkali kiasi hiko kila sehemu anapoonekana ndani ya nchi huru na yenye amani?....
Viongozi huongezewa ulinzi endapo tu
Kuna hali ya hatari imetangazwa
Kuna fununu za mapinduzi
Kuna viashiria vya vita na majirani
Kuna dharura ya kitaifa
 
Biblia inasema

Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;

kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.

Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu, ila na kwa sababu ya dhamiri.

Warumi 13: 3-5
 
Hivi mpaka Sasa hukujawa na jina la uwakilishi wa rais ukiacha hilo la mtetezi wa wanyonge?

Hao wanyonge miaka karibu 7 wanatetewa tu mpaka leo hawajatoka katika unyonge wao?
 
Habari JF

Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi...
Mafanikio gani zaidi ya kuharibu nchi. Sasa hivi ukabila umejaa kila Kona baada yeye kuuanzisha kwa kujananisha wasukuma serikalini. Amesababisha hata private schools Kama siyo mkabila mwenzao hupati kazi. Nchi kwa sasa unakwenda Kama gari bovu.

Uchumi umevurugwa yet tunalazimishwa eti ni uchumi wa Kati wakati hata burundi kwa sasa wanatucheka.

Ajira hakuna. Nyongeza ya mishahara hakuna Jambo ambalo limepunguza mzunguko wa pesa kiasi ambacho mama ntilie anali, mfanya iahara analia, mkulima analia.

Ndo maana wakulima, wafanyabiashara, wafanyakazi na baadhi ya mawaziri wanaliombea life ili nchi itulie.
 
Wivu? Wivu wa nini sasa [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom