Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhHabari JF
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli mtetezi wa wanyonge amezungukwa na maadui wabaya sana ndani na nje ya nchi
Kuna kipindi watu wenye nia ovu na rais wetu huuliza maswali kwanini Magufuli anaulinzi mkali kiasi hiko kila sehemu anapoonekana ndani ya nchi huru na yenye amani?
Watu hao huenda mbali zaidi kwa kukejeli kama Rais ni kipenzi cha Watanzania kwa nini ajazwe rundo la wanausalama Kumlinda?
Sasa hao wote wanaouliza maswali kuhusu ulinzi wa Magufuli watakuwa wamepata majawabu kwamba Rais wetu anawindwa sana na watu wabaya, tena wanamawazo ya kummaliza kabisa
Kiulinzi waovu hao wameshindwa, wameamua kumuombea Rais wetu dua mbaya za ugonjwa na kifo,, katika hili wameshindwa
Rai yangu ni kuomba idara ya ulinzi wa rais iongeze nguvu kuhakikisha rais anakuwa salama dhidi ya watu hao waovu,, ulinzi wa Magufuli hautoshi kulingana na maadui waliotanda kila kona ya dunia hii na yote hii ni wivu dhidi ya rais kutokana na mafanikio yake.
Rais Magufuli aongezewe ulinzi
Bahati nzuri hakuponaIkitokea akapona, akaja kusoma hizi posts, nadhani atajiuzulu.
Uliona mbali mkuu.Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara.
Hatua anazozichukua za kupambana na kila aina ya ufisadi dhidi ya fedha za umma na rasilimali za taifa zinaweletea maumivu baadhi ya watu,zinawafanya wapoteze ulaji waliouzowea,wanachukizwa na wanaweza kufanya lolote.
Tunaomba rais aimarishiwe ulinzi mzito.
Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara.
Hatua anazozichukua za kupambana na kila aina ya ufisadi dhidi ya fedha za umma na rasilimali za taifa zinaweletea maumivu baadhi ya watu,zinawafanya wapoteze ulaji waliouzowea,wanachukizwa na wanaweza kufanya lolote.
Tunaomba rais aimarishiwe ulinzi mzito.
MmhMafanikio gani zaidi ya kuharibu nchi. Sasa hivi ukabila umejaa kila Kona baada yeye kuuanzisha kwa kujananisha wasukuma serikalini. Amesababisha hata private schools Kama siyo mkabila mwenzao hupati kazi. Nchi kwa sasa unakwenda Kama gari bovu.
Uchumi umevurugwa yet tunalazimishwa eti ni uchumi wa Kati wakati hata burundi kwa sasa wanatucheka.
Ajira hakuna. Nyongeza ya mishahara hakuna Jambo ambalo limepunguza mzunguko wa pesa kiasi ambacho mama ntilie anali, mfanya iahara analia, mkulima analia.
Ndo maana wakulima, wafanyabiashara, wafanyakazi na baadhi ya mawaziri wanaliombea life ili nchi itulie.
Kwanza nani karuhusu afungue hapo!??Ulinzi uko wapi?View attachment 1791543
Daaaaah unabii uliotimiaHabari wanajamii wenzangu kwa kipindi kirefu tulikua tunalilia kiongozi bora na sibora kiongozi, wanachama wa nje na ndani wamekubali kwa awamu hii ya tano kupata kiongozi mzuri mwenye kujielewa na mwenye msimamo wa kikazi.
Mungu kasikia kilio cha watz kuwaletea kiongozi mwenye kujali wananchi wake, vigogo wasiopenda wananchi wameanza kulialia na kuletafujo, acha niende kwenye point, raisi wetu "MUNGU" aendelee kumuongoza, kumlinda na amuepushe na balaa na husda za watu ambao hawapendi maendeleo ya wananchi kwa maslahi yao binafsi, na ndo maana nikasema kwamtindo huu aliokuja nao lazima atakua na maadui wengi kupita kiasi na kati ya maadui hao lazima atakua nao kwenye vikao vyake vya siri ila hatowajua.
Katika point yangu nashauri bora awe karibu na ulinzi wa JWTZ kuliko hao wengine tunaowafikiria ni watendaji wazuri kwa rais mpya jeshi hili limekua likisifiwa kwa kiasi kikubwa katika utendaji wa kazi naamini kwa lazima jwtz raisi awe nao karibu kama ulinzi wake na sivinginevyo.
Mh aliamini watu wa Usalama kuliko wanajeshi.Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara.
Hatua anazozichukua za kupambana na kila aina ya ufisadi dhidi ya fedha za umma na rasilimali za taifa zinaweletea maumivu baadhi ya watu,zinawafanya wapoteze ulaji waliouzowea,wanachukizwa na wanaweza kufanya lolote.
Tunaomba rais aimarishiwe ulinzi mzito.
Una ushahidi au unabwabwaja tu!!Mh aliamini watu wa Usalama kuliko wanajeshi.
jamaa wa Usalama walimjaza Uongo mwingi na ndio waliommaliza