D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Sina ushahidi vipi unanipinga?Una ushahidi au unabwabwaja tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina ushahidi vipi unanipinga?Una ushahidi au unabwabwaja tu!!
Kama huna ushahidi sasa mbona unawatuhumu Maafisa wa Usalama bila kuwa na ushahidi?Sina ushahidi vipi unanipinga?
We una uthibitisho Kama si wao waliohusika?Kama huna ushahidi sasa mbona unawatuhumu Maafisa wa Usalama bila kuwa na ushahidi?
Kwa kuwa umetuhumu ni lazima utoe ushahidi wa tuhuma. Mimi sijatuhumu.We una uthibitisho Kama si wao waliohusika?
Mimi ninaamini hivyo mpaka pale nitakapopata sababu za kuniaminisha vinginevyoKwa kuwa umetuhumu ni lazima utoe ushahidi wa tuhuma. Mimi sijatuhumu.
Kuamini na kutoa tuhuma ni vitu viwili tofauti mkuu.Mimi ninaamini hivyo mpaka pale nitakapopata sababu za kuniaminisha vinginevyo