Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia
Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko maneno watanzania wanavutiwa nae
WATANZANIA, BILA KUJALI VYAMA VYETU MAGUFULI TUMUACHE APITE BILA KUPINGWA
Kwa utendaji wa RAIS MAGUFULI Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha apite bila kupingwa , watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Magufuli atashinda kwa kishindo.
Rais Magufuli Dunia mzima inajua utendaji wake ,2015 tulimchagua sababu alifanya makubwa akiwa Waziri katika wizara mbalimbali ,alijiuza Kwa uchapaji kazi wake.
Tulipomchagua kuwa Rais amefanya makubwa Dunia mzima imesimama kumshamshangaa Ngosha ,mtu mchapakazj ,mwenye maono na wanajua atachaguliwa Kwa KISHINDO.
Sisi watanzania tulitakiwa kumpa heshima iliotukuka Kwa uchapakazi wake.
Tulitakiwa vyama vyote vimuunge mkono apite peke yake tupige Kura za NDIYO ,kuna aina nyingi za demokrasia duniani
Sio lazima kusimamisha mgombea katika kila nafasi.
URAIS MAGUFULI MITANO TENA, KAZI IKAENDELEEE
Niwaombie upinzani kutorudisha form za Urais pia ni uzalendo ,ni kumuheshimisha RAIS Magufuli.
Watanzania katika Urais twende na Magufuli ana Nena na kutenda.
Iwa mwema
MALIKI MALIKI