Uchaguzi 2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

Bila kumwengua Tundu Lissu kwa kinyan'ganyiro asahau ushindi. Aombe tu Kaijage amsaidie, la sivyo anakwenda na maji!
 
Ila verified users mnaongoza kwa kujikomba sana!...Ila awe bora lazima awashinde wagombea wengine.

Eti hana mpinzani Tanzania, Afrika na Dunia....amekuwa Mungu?

Mungu mwenyewe ana wapinzani..hawa jamaa wanajitoa akili tu!
 
Mbona kwenye chama chetu imetoka form moja tu
 
Ukiwa Km Kada Mtiifu Ni Lazima Uonyeshe Ukomavu Wa KISIASA....

Unaposema APITE bila ya kupingwa Una Maana Kuwa Serikali Inacheza Kuyatenga Mabilioni Yote Yale Kutoka Jasho La Wananchi kwa AJILI ya huu Uchaguzi ujao ili Kutimiza Matakwa Ya Katiba....Unataka Tuishi kama Nchi Isiyo Ustaarabu?!!!

Hebu Kuweni Think Tankers Ya Uzalendo Wa Kweli Kwa Nchi Na Chama.....
 
Labda mumpitishe bila kupingwa awe Rais wa familia yako na wanao. Tanzania tunamtaka TUNDU Lissu period
 
Tunataka mdahalo Raisi ajieleze mwenyewe na si wapambe
 
Watu wapunguze mapambio na wawe na uhalisia....hata kama mtu anampenda Rais kama mimi wasisahahu yule ni Mwanadamu na pande zake mbili....wamsaidie azidi kuimarika na siyo kupumbaza eti ameshafikia kilele cha ukamilifu.
Wana kufuru
 
Ila verified users mnaongoza kwa kujikomba sana!...Ila awe bora lazima awashinde wagombea wengine.

Eti hana mpinzani Tanzania, Afrika na Dunia....amekuwa Mungu?
Mleta uzi hayuko sawa sawa, asaidiwe kwa kweli.
 
ona chuma kinavyofuta ndani ya wiki 1 tu magoli yote yaliyofungwa kwa miaka 5.

kampeni zikianza MATAGA watakimbia nchi!

Ufipa mnashida sana. sasa hapo yupo kutafuta wadhamini au kwenye mkutano wa wananchi? ina maana hao wote wana kadi za uanachama au wamekuja kumuona kama kituko fulani. Think before you post your nanihiii hapo. Pumba tupu
 
Mwambie mamako ampitishe kwa maana ana sehemu ya kumpitisha
 
Hapana hilo kwenye nchi yenye democracy halina nafasi
 
Tume ya Uchaguzi yenu Jaji Mkuu wenu Mwapisheni tu
 
Ufipa mnashida sana. sasa hapo yupo kutafuta wadhamini au kwenye mkutano wa wananchi? ina maana hao wote wana kadi za uanachama au wamekuja kumuona kama kituko fulani. Think before you post your nanihiii hapo. Pumba tupu
poa poa.
hizi hasira zako ni dhahiri Lissu kakushika kunako....
 
Huku CCM kwenyewe tulitaka kumpinga, walipotushtukia likatoka agizo ichapishwe fomu 1. Itakuwa huko upinzaji kwenye mijitu mibishi iliyogomea mpaka kifo??

Acha hayo mambo buanaaa
 
Huku CCM kwenyewe tulitaka kumpinga, walipotushtukia likatoka agizo ichapishwe fomu 1. Itakuwa huko upinzaji kwenye mijitu mibishi iliyogomea mpaka kifo??

Acha hayo mambo buanaaa
Nimecheka sana eti iliyogomea mpaka kifo
 
Atake Asitake Mpaka Afie Kwenye Kiti
Chama Dola!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…