Uchaguzi 2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

Alitangaza kuua upinzani si dhani kama aliyetangaziwa kuuliwa atakubali ombi lako
 
Mleta mada wewe ni Kati ya wale watakao7bisha anguko la jpm Kwa mapambio kama haya yanamfanya anakuwa hohehahe ktk decision kwani hata akikosea hatajua na shida kubwa mlonayo ni kumsifia katikati ya makosa badala ya kumshauri vizuri mnampotosha.

Hebu mpelekee mchepuko wako huu upupu uloandika uone kama hata maji yakunywa utapewa, mtoto wa kiume unaandika huku umebinua kichuguu na vidole umepindisha sasa hii tabia iishie Tanganyika usijaribu ukiwa Mombasa.
 
Nahisi kunakikundi flani cha kikabila kimeshaota na kinatapakaa kwa kasi na kinamea kuelekea ngazi muhimu za kiserikali. Halafu wa tz hawajashtuka.God save our contry Amen.
 

Umesahau kuandika email au namba ya simu mkuu
 
Kwaheri ukoloni
Kwaheri Uhuru
 
Acha akupitie wewe bila ya kumpinga
 
Kupita bila kupingwa mabeberu watakereka,acha vibaraka wa mabeberu(ACT na chadema) wamsindikize jembe magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo

Akitoa dawa na ela za elimu unakuwa mhisani wa maendeleo sio beberu hahaha
 
Unajikomba hadi unatia kinyaa!
 
Ili watz waendelee kuwa masikini kwasababu wwe ni mnufaika
 
Wajinga wanazidi kupungua ila naona ww umeendelea kushikia ujinha, pambana utoke kwenye hiyo 58% hapo ambayo sahivi imekuwa 30% maana T.Lissu anapindua meza
 
Sijawahi msikia Magufuli anasema yeye mnyonge na siku ikimwita mnyonge am shually atakuteka.
 
Mukisha vimbiwa viazi mbatata ndiyo mmaanza kuandika pumba hizi. Labda kama a kwenda chooni ndiyo apite bila kupingwa, ila siyo kwa uongozi wa nchi.

Nyerere mwenyewe aliyekuwa na chama kimoja tulikuwa tunapiga kura ya ndiyo au hapana. Huyo kibwengu lazima nimuonyeshe tarehe 28/ 10 kuwa HATUMTAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…