Uchaguzi 2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

Kama ulikula hela zake na kumwambia kuwa upinzani umekufa, bora urudishe hizo hela maana itakuwa tatizo kubwa. Alishazoea kupita bila kupingwa, hebu apambane apate kura atakazopata na wengine wapate watakazopata.
Upinzani ulishakufa siku nyingi, huu utopolo anaofanya seif na Lissu mmeshaambiwa hakuna record duniani ya vyama vilivyoungana kuwahi kushinda.Mnapoteza muda bure.
 
Upinzani ulishakufa siku nyingi, huu utopolo anaofanya seif na Lissu mmeshaambiwa hakuna record duniani ya vyama vilivyoungana kuwahi kushinda.Mnapoteza muda bure.

Huyo aliyetuambia mwenyewe kafulia, kama ccm walimtuma wakidhani kuna mtu atamsikiliza kwenye upinzani, basi wameukalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…