Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dah sijui hata nani atajibu hili swali ila naenda kutafuta kitambulisho cha 20k nizame pale nikauze.Kwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Hivi leo ndio ana omba kuwa rais au anaomba kuongezewa muda? Kwamba haya anayo zungumza leo hakuyaona miaka mitano iliyo pita au yametokea leo?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema soko la Mabibo, Maarufu kama Mahakama ya Ndizi litakuwa chini ya wananchi.
Ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa kampeni, akiwa anawaomba kura wananchi wa Ubungo.
Ameyasema hayo baada ya mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia CCM, Kitila Mkumbo kusema kuwa, soko lile lilikuwa na changamoto kwa kuwa halikuwa rasmi kutokana na eneo hilo kuwa chini ya kiwanda cha Urafiki hivyo kushindwa kufanya uwekezaji.
Muda mrefu soko hilo lilipaswa kujengwa ktk eneo la kiluvya bwawani, lkn nadhani kama kawaida ya baadhi ya watendaji wetu mpaka wasukumwee ndio wafanye kazi vinginevyo wana chapa usingizi.Kwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Maendeleo ni mchakato.Ajabu ya wagombea wa CCM kila kipindi cha uchaguzi hutoa ahadi mithili ya kwamba wao ni wapinzani na haikuwa wao walioweka hivyo wanavyovinadi kubadilisha.
MaCCM yamechanganyikiwa. Utafikili yana mgombea Mpya.Kwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Basi itakuwa mchakato marejeo. Maana mzunguko ni ule ule na ahadi ni zile zile. Mbaya zaidi watoa ahadi ni wale wale.Maendeleo ni mchakato.
Lissu akandamize hapo kwenye hiki Kitambulisho cha wizi, halafu amrarue kwenye Fao la Kujitoa kwamba akiingia tu madarakani anaifuta hii sheria kandamizi halafu aahidi wananchi anarudisha Bunge live cc Salary Slip yani hapo tunamchana Meko msamba vibaya anarudi chato.Kasema Vitambulisho viendelee kulipiwa 20000 ambayo ni haramu
Hili la Vitambulisho linamrudisha Chatu