imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mtag Lissu yumo humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtag Lissu yumo humu
Kwa ufupi wananchi ni mimi na wewe. Kwa minajiri ya utawala bora wananchi kuchagua serikali yao kwa njia ya kidemocrasia na kuweka mundo wa utawala. Utawala huo huwa na ngapi tofauti kama vile mtaa, kata, wilaya, moka na serikali kuu. Kwa minajiri ya uendeshaji wa solo la mabibo, manispaa ya ubungo kwa kupitia halmashauri yao wataendesha. Halmashauri huundwa na baraza la mariani ambayo ndo tunawachagua 28/102020Kwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Na wadanganyika ni wale wale! kazi ya kumkomboa mdanganyika ni ngumu sanaBasi itakuwa mchakato marejeo. Maana mzunguko ni ule ule na ahadi ni zile zile. Mbaya zaidi watoa ahadi ni wale wale.
HujamsikiaKaongeza mishahara?
Masoko ya majimboKwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Soko halikuwa rasmiKwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Hujamsikia
Rushwa!!!Ni jambo jema!
Wewe akili fupi hapo jiwe kaingizwa ChakaSoko halikuwa rasmi
Pia lilikuwa eneo la kiwanda cha Urafiki.
Rais amefanya kulirasimisha, nadhani hapo utakuwa umenielewa.
Kuongeza ni Rushwa ila kuahidi ni kampeni.Je, kuongeza mishahara nk kwa Anti ni rushwa au.