Uchaguzi 2020 Rais Magufuli asema soko la Mabibo, maarufu kama Mahakama ya Ndizi kumilikiwa na wananchi

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli asema soko la Mabibo, maarufu kama Mahakama ya Ndizi kumilikiwa na wananchi

Kwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Kwa ufupi wananchi ni mimi na wewe. Kwa minajiri ya utawala bora wananchi kuchagua serikali yao kwa njia ya kidemocrasia na kuweka mundo wa utawala. Utawala huo huwa na ngapi tofauti kama vile mtaa, kata, wilaya, moka na serikali kuu. Kwa minajiri ya uendeshaji wa solo la mabibo, manispaa ya ubungo kwa kupitia halmashauri yao wataendesha. Halmashauri huundwa na baraza la mariani ambayo ndo tunawachagua 28/102020
 
Basi itakuwa mchakato marejeo. Maana mzunguko ni ule ule na ahadi ni zile zile. Mbaya zaidi watoa ahadi ni wale wale.
Na wadanganyika ni wale wale! kazi ya kumkomboa mdanganyika ni ngumu sana
 
kama Man united, wanasajili kwa mihemko chochote mbele beba tu... ndio kampeni zetu
 
Kwanini soko hilo linaonekana leo linatakiwa kumilikiwa na wananchi? Awali lilikuwa linamilikiwa na Nani? Kodi zilikuwa zinatozwa na kukusanywa na Nani? Hao wananchi wataunda kikundi Cha umiliki, wataunda kamati, wataunda seriakali au watamiliki kwa njia zipi?
Masoko ya majimbo
 
Soko halikuwa rasmi

Pia lilikuwa eneo la kiwanda cha Urafiki.

Rais amefanya kulirasimisha, nadhani hapo utakuwa umenielewa.
 
Rushwa na afungiwe, maana nikinyume na maadili ya TUME wakati huu was kampeni.
Ila TUME watakaa kimia kwa ccm, raid anatia tushwa hii Leo kwenye kampeni Mburahati- jijini Dar es Salaam. What ashame!
 
Soko halikuwa rasmi

Pia lilikuwa eneo la kiwanda cha Urafiki.

Rais amefanya kulirasimisha, nadhani hapo utakuwa umenielewa.
Wewe akili fupi hapo jiwe kaingizwa Chaka
Soko hilo kwa taarifa yako sio rasmi Lilia zishwa kijanja janja na madalali Flani wahuni wakishirikiana na baadhi ya watumishi wa jiji
Idara ya biashara kiukweli sasahivi eneo Hilo la soko limechukuliwa kimabavu na wananchi
Kiukweli eneo Hilo Ni milki ya Tanzania Chinese Friendship Textile Company Ltd kampuni ya ubia (joint venture) kati ya serikali ya Tanzania na Uchina
Kulikuwa. na shauri mahakama kuu kuhusu mgogoro wa uvamizi wa wafanyabiashara eneo lililopo soko ambapo hukumu ilitolewa kwamba wamiliki halali wa eneo hilo ni kiwanda cha urafiki hivyo soko liondoke hapo
Siasa inataka kutumikia vibaya hapo kupotosha kwani pamoja na nguvu ya Rais kufuta hati milki ya ardhi itambulike kwamba hiko kiwanda pamoja na hiyo ardhi Ni mali ya serikali ya Uchina na Tanzania kwa hiyo msijidanganye na siasa rahisi kuhusu hiyo ardhi
Hiyo ardhi sio local local tu amuagize lukuvi embu kabla ya Ijumaa niletee hiyo hati niifute
Kuna diplomatic issues hapo, MoU kati ya China na be Tanzania wakati wanakubaliana kujenga kiwanda inasemaje
Kitila na usomi wake anakurupuka
 
Lissu amefanya maccm yapoteana.
Kule Zanzibar mtu wa mkulanga hanaw cha kufanya.
Wanafanya kampeni na baba yake kikongwew na Matàgà wanao jiita CCM Mpya.
 
Back
Top Bottom