Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

Yeye ni kiongozi wa nchi hivyo ni wajibu wake kushangilia kila upande
HUYU MAGU ATAKUWA YANGA, automatic tu amejikuta anashangalia Yanga..

In God we Trust
 
Kwa sisi wacha Mungu tunaamini kuwa ushindi wa Yanga dhidi ya Simba ni "triumph of good over evil"!

Nguvu ya ziada ilitumiwa na vyombo vya dola kumnyanyasa mfadhili wa Yanga Mr Manji ili kuhakikisha Yanga inayumba.
 
si amevaa mseto, hata simba wangeshinda basi angeshangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…